2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

marisi schwein

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,014
3,029
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?
386A085D-7B0F-4FC9-B045-12AD5578D13E.jpeg
20F4AE56-60A2-4E8B-A59F-7ACC778EAC15.jpeg
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?

Bro number’s don’t lie

Go for Mercie

Good Fuel economy,performance ni ya kawaida kiukweli japo ina top 260km/hr labda usichukue hizi cc1780

Comfotability inategemea una compare na gari ipi lkn haiifiki kwa gari kama crown.

All in all you buy mercides you buy pride
Kila utapoonekana wanajua una pesa

Maintenance ni expensive kiasi

Hizi C200 kompressor hazina magonjwa mengi ndo maana hutasikia kelele humu za wamiliki wa Benz

Ni gari reliable sana na ngumu mno.umeme kiasi

ONYO:kama hukai mjini kene barabara na mafundi wa uhakika achana nayo mkuu
 
Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?

320i ya BMW atleast uchukue ya kabla ya 2007 au baada ya 2015 kama pesa ipo.

Kuanzia 2008 mpaka 2014 ukichukua 320i, ukajichongee kabisa na jeneza. N43 engines na N20 engines ni majanga makubwa.

C200 kwa 2010 inakuja na M271 ikiwa na Supercharger kikubwa tu hiyo M271 iwe ni KE18ML na siyo DE18ML

Although pia nayo ina shida kwenye timing chain kama zilivyo engine nyingi za European Makers.

Kila la heri.
 
Duh, gari ya mwaka 2010 ina maana ina miaka 12? Hakuna gari hapo, kwa nini usichukuwe hiyo pesa na nunua gari hata ya chini ya miaka 5 siyo lazima iwe Bimmer au Mercedes, …

Hivi unajua bei za gari za kuanzia 2015 sio watu wengi wanaweza kumudu. Unashangaa gari ya 2010?? Hiyo kwa huku bado kabisa. Bei huathiri maaamuzi ya watu wengi sana hasa hizi nchi zetu. Pengine tujikite kumshauri kati ya hizo gari mbili achujue ipi
 
Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi

Usini quote vibaya mkuu
Mimi mwenyew mjerumani usinigambanishe

Hapa nmecompare c-class 2010 vs crown 2010

Ukiachana na pride na issue za usalama

Hii C-class hafiki kwa crown sema tu ni toyota

I’m speaking honestly wth experiences nkiwa nmetumia zote 2
 
Sio Siri BMW 320i zipo nyingi Sana sikuhizi Hata Mimi unanipa mzuka Sana wa kujaribu kuinunua ...
Jamaa yangu kariakoo ameuza Toyota crown na amenunua BMW 320 huwa anaisifia Sana gari yake dhidi ya crown 👑 hata Mimi nakushauri nunua fasta hiyo BMW.
Baada ya miaka 5 mbele wengi tutaingia Tu Kwa mjerumani
 
Chukua Benz..
C200 Kompressor imekuwa ikitumia 4 cylinders muda mrefu.. Engine itakuwa reliable..
320i ilikuwa ni 6 cylinders then wakahamia kwenye 4 cylinders.. New technology.. Engine ya majaribio.. Probability ya kuwa na matatizo ni kubwa..!
Kama unatafuta Bimmer achana kabisa na 4 cylinders.. Angalia za 6 cylinders.. Ziwe na cc angalau 2500..!
4 cylinders ni kama unataka logo ya BMW ila kwa pleasure tafuta 6 au 8 3000cc kwenda juu..!
 
Hivi unajua bei za gari za kuanzia 2015 sio watu wengi wanaweza kumudu. Unashangaa gari ya 2010?? Hiyo kwa huku bado kabisa. Bei huathiri maaamuzi ya watu wengi sana hasa hizi nchi zetu. Pengine tujikite kumshauri kati ya hizo gari mbili achujue ipi

Najua, nilichomaanisha ni kwamba kununua Bimmer au Mercedes ambayo karibia kila kitu kimeshachoka itakuchukuwa gharama kubwa sana mpaka kuja kuiweka sawa na kuenjoy Bimmer ambapo hiyo gharama ni bora utafute gari za kawaida ( ambazo hazing majina) lkn mpya kidogo ambapo utaitumia kwa muda mrefu zaidi, kununua Mercedes au Bimmer iliyokwishachoka ni kupoteza hela na siyo clever kwani aidha utaipaki kwa kushindwa kuirepair au itakubidi utafute gari nyingine ya pembeni kama toyota ya kutumia kila siku, sasa ukijumlisha hizo stress zote ni bora ujinyime ununue gari ( siyo brand name lkn nzuri) ya miaka max 5 lkn utaishi nayo bila ya stress, …
 
Bro kwani Toyota tunazotumia huku ni za miaka ipi? Kwa taarifa yako za 2008-2010 huku kwetu ndio tunaita ‘ new model’ hahahahahah

Toyota ni tofauti na Mercedes au BMW, toyota wanatengeza gari kwa kila soko, kuna toyota tropical version kwa ajili ya Afrika, Asia na Middle East zimetengenezwa kukidhi mazingira ya huku kwetu, BMW au Mercedes hawana kitu kama hicho wao wana wateja wao ambao hata offroad hawaendi, ndio maana magari mengi ya Mercedes au BMW bongo yamepaki na watu wanalalamkka sababu wanayanunua yameshachoka, kwa maana nyingine hali yao hairuhusu kuwa na magari kama hayo lkn wanalazimisha, ndicho nilichomaanisha!
 
Back
Top Bottom