BMW Series 1, 3, 5

Hivi wewe mshikaji ulisoma hata Hisabati kweli Shule ya Msingi na ukafaulu?
Unajua Hesabu hata Sequence and Series? Hizo gari kuitwa 1 series, 2 series 5 series 7series n.k ina maana yake hiyo ni Hisabati ya sequence and series sasa iweje namba 3 iwe kubwa klk 1?

Hata common sense tu ya kawaida kwa mtoto aliyefaulu Mtihani wa Taifa wa darasa la nne (4) atakwambia hilo, nashangaa tunabishana hapa kujaza kurasa kwa kitu ambacho kiko wazi kabisa!

Narudia tena kuna sababu kwa nini ikaitwa Series hizo ni namba (sequence) na ndio maana BMW X3 ni ndogo kiliko BMW X5 kwa maana ya sequence ya namba vile vile Audi A 4 ni ndogo klik Audi A6 na Audi A6 ni ndogo kuliko Audi A 8 sijui tatizo liko wapi hapa?

Hivi wewe ni Kijakazi limetumbuka au yule mwingine kule kwenye thread ya Bentley SUV?
 
Last edited by a moderator:
hii hapa 3 Series M Sports Model..

6308187425_b4725398c2_z.jpg

Mkuu asante sana kwa ushauri. nimevuta 3series M sports......... nasubiri kutumbuliwa jipu sasa.

Cheers!
 
BMW series1 na series3 ukiagiza kutoka Japan yaani gharama yake ikoje kwa pesa ya kiswahili kuanzia manunuzi ya nje, shipping pamoja na tra bandarini?
 
Ngoja tukate mzizi wa fitina ina maana Kijakazi mtu anapo omba ushauri wa kununua hizo gari maana yake ni kwamba hana hela ??? Vipo vitu vingi vinamvumtia mtu kununua gari ,labda yeye umbo la gari ndio linamvutia lakini hakua na maana kwamba hana hela ya kununua kati ya hizo choices zake
 
hii hapa 3 Series M Sports Model..

6308187425_b4725398c2_z.jpg

Mkuu asante sana kwa ushauri. nimevuta 3series M sports......... nasubiri kutumbuliwa jipu sasa.

Cheers!
Ni pm kwa ushauri na parts za hio gari UK QUALITY PARTS
 
Ngoja tukate mzizi wa fitina ina maana Kijakazi mtu anapo omba ushauri wa kununua hizo gari maana yake ni kwamba hana hela ??? Vipo vitu vingi vinamvumtia mtu kununua gari ,labda yeye umbo la gari ndio linamvutia lakini hakua na maana kwamba hana hela ya kununua kati ya hizo choices zake
Huyo jamaa ni mvurugaji tu ndio maana ana id kibao anajichanganya tu kuvuruga watu, mleta mada kachuja pumba na mchele kavuta mashine hio.
 
Huyo jamaa ni mvurugaji tu ndio maana ana id kibao anajichanganya tu kuvuruga watu, mleta mada kachuja pumba na mchele kavuta mashine hio.
Nadhani tu kaamua tu kufanya makusudi ,
Choices ya gari haiwezi ika determine mtu ana uwezo au hana ,jamaa kisa katoa option 1Series na 3 kaona hana hela sijui ,wakati vile vile angeweza akauliza 1series na 7series ipi ingemfaa ,halafu wadau ndio waje na specifications zake kumsaidia
 
BMW 1 series ni ndogo, BMW 3 ni kubwa kwa umbo kulinganisha na 1series.

Unapokuja kwenye engine zinaweza kuwa sawa mfano 118i ni sawa na 318i au 130d ni saw a na 330d

Kikubwa hapo ni body size kulingana na matumizi yako

Agiza Japan wana bei nzuri hasa befoward,spare zipo ukinunua wasiliana na mimi
Mkuu nina shida ya radiator na oilcooler ya BMW 318i,
 
Ni pm kwa ushauri na parts za hio gari UK QUALITY PARTS
Hivi mkuu nimeona umegusia jamaa anunue M-Sport model, what is so special about this model? Ya kawaida na hii m-sport model ni nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom