BMW Series 1, 3, 5

BMW Series 1, 3, 5

Sasa wewe mshikaji unafanya ulinganifu gani huo? Kumbe unaongelea magari yaliyotumika? Basi kama ni hivyo pia kuna Toyota raum zilizo na bei kubwa kuliko Bentley!

Unaelewa maana ya kulinganisha vitu? Kama unataka kujua leta hapa BMW1 (ya mwaka 2015 km 0) na BMW 3 (Ya mwaka 2015 km 0) halafu ndiyo tuendelee kuongea!
wewe kwa akili yako unaona mwenye thread anataka gari mpya 0 km au umeona ndio njia ya kutokomea baada ya kuongea pumba!!:der::der:,,kweli umetumbuka!!
 
Haujui unachoongea kama ungejua unachoongea ungetambua ya kwamba Series 1<3< 5<... Na kama ushahidi leta hapa bei ya BMW 1 (ya mwaka 2015 ) na BMW 3(ya Mwaka 2015) halafu tulinganishe bei, hukohuko ulikofanya kazi hiyo ndiyo itamaliza ubishani!

Sawa boss...umeshinda.
 
Habarini wanandugu.

Msaada tutani,ninataka kununua au niseme kuagiza gari aina ya BMW series 1 au3. Ninaomba ushauri kwa wenye uzoefu na magari haya yasiyo TOYOTA. Hizi gari zafaa huku kwetu spea je zapatikana? unanishauri nini.

Ipi ni njia nzuri na ya usalama zaidi kuagiza gari na wapi naweza kupata kwa bei nzuri

Asanteee kwa ushauri

Chifu, bajeti yako ni kiasi gani? Kama ipo ya kutosha, katika BMW, 7 series ndizo gari za kiume...chukua 7 series 730 ama 735 diesel, ingawa katika soko la gari used 730 ndiyo yapo mengi...

801857_1.jpg


801857_2.jpg


801857_4.jpg


801857_6.jpg


801857_7.jpg


801857_8.jpg


801857_11.jpg


801857_13.jpg


801857_14.jpg


801857_17.jpg


801857_20.jpg



Hii ni ya mwaka 2006....tembelea vcars.co.uk kucheki zaidi...kama ukitaka gari tofauti na Toyota, usinunue Japan..
 
Nzi, samahani hii gari yako inaendeshwaje? sioni gear leaver!!
 
Last edited by a moderator:
yani kwenye magari ndio wala sijui kinachoendelea najua tu kuendesha tena automatic cars wana sijui nikitaka kununua nianzie wapi
 
Chifu, bajeti yako ni kiasi gani? Kama ipo ya kutosha, katika BMW, 7 series ndizo gari za kiume...chukua 7 series 730 ama 735 diesel, ingawa katika soko la gari used 730 ndiyo yapo mengi...

801857_1.jpg


801857_2.jpg


801857_4.jpg


801857_6.jpg


801857_7.jpg


801857_8.jpg


801857_11.jpg


801857_13.jpg


801857_14.jpg


801857_17.jpg


801857_20.jpg



Hii ni ya mwaka 2006....tembelea vcars.co.uk kucheki zaidi...kama ukitaka gari tofauti na Toyota, usinunue Japan..

ImageUploadedByJamiiForums1424575781.645989.jpg

Bila picha hatutaelewana hapa.. Vitz vigari vya kike ..teh
 
Nzi, samahani hii gari yako inaendeshwaje? sioni gear leaver!!

Hapo kwenye ukusakani nadhan upande wa kushoto au kulia kuna kibatani ndo unabofya hicho, hiyo gari ina batani nyingi nadhan hata hand break yake ni batani
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
kuagiza non toyota cars toka japan ni mistake coz gari kama bmw hazina kiwanda jp so bora ata south africa
 
Chifu, bajeti yako ni kiasi gani? Kama ipo ya kutosha, katika BMW, 7 series ndizo gari za kiume...chukua 7 series 730 ama 735 diesel, ingawa katika soko la gari used 730 ndiyo yapo mengi...

801857_1.jpg


801857_2.jpg


801857_4.jpg


801857_6.jpg


801857_7.jpg


801857_8.jpg


801857_11.jpg


801857_13.jpg


801857_14.jpg


801857_17.jpg


801857_20.jpg



Hii ni ya mwaka 2006....tembelea vcars.co.uk kucheki zaidi...kama ukitaka gari tofauti na Toyota, usinunue Japan..

kuagiza non toyota cars toka japan ni mistake coz gari kama bmw hazina kiwanda jp so bora ata south africa
Acheni kuwaingiza watu chaka, Japan hawazalishi Toyota Peke yake, sasa mnavyowaambia watu wakitaka gari tofauti na Toyota wasinunue Japan mna maana gani?

Mfano mtu akitaka Mitsubishi Pajero au Suzuki Grand Vitara akainunue wapi sasa kama si Japan na hizi ni non Toyota Cars?
 
Aisee humu kuna watu wanafanya vurugu,na humu humu kuna wataalam wanaoelezea magari hayo.
Sasa sijui hali inakuwaje.
Mie nimependa tu hizo gari,kwa kuchukulia watoto IFM safi kweli.
 
#limetumbuka nimeshaelewa tatizo lako lipo wapi. Unadhani kuwa BMW 1 Series ni toleo la zamani kabla ya 3 na 5 series. Hapo ndipo tatizo lako lilipoanzia. Na hivyo inakufanya udhani bei ya 1 Series itakuwa ndogo kuliko ya 3 na 5 series wakati sio kweli.

5 Series zilianza kutengenezwa mwaka 1972 - Present.

3 Series zilianza kutengenezwa mwaka 1975 - Present.

1 Series zilianza kutengenezwa mwaka 2004 - Present.

Bei ya 1 Series ni kubwa kuliko bei za 3 & 5 Series. Sio kama unavyofikiri wewe. Nadhani wewe ni mgeni sana kwenye haya magari ya BMW!!

Ngoja nikupe mfano kwa prices za kila model..!!

image.jpg


wi377l.jpg

Website gani hii mkuu?
 
Wewe Ni Muongo na wala SiYO mnunuzi wa hayo magari kwa sababu BMW 1 na 3 ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti ni kama vile mtu anauliza kati ya Toyota Spacio na Toyota Lexus IS anunue ipi!
Kwa hiyo uongo wake ni........unaweza kumalizia?
 
aiseee babayangu tokea mmeanzisha hii mada hakuna aliyetaja bei za izo gari 2wekeeni hata bei
 
mkuu hongera sana kwa kugundua uwepo wa magari mengine mazuri zaidi ya Toyota.
Binafsi nigekushauri uchukue 3 series na uachane na hizo 1 Series.

BMW 1 Series ---->
Used_Bmw_1_series_2008_Grey_Hatchback_Petrol_Manual_for_Sale_in_Aberdeenshire_UK.jpg












BMW 3 Series ---->
8474b8a1.jpg



Binafsi natumia BMW (E46) 3 Series M Sports mwaka wangu wa pili huu halijasumbua kabisa. Ni gari luxury sana, engine performance kubwa- top speed 250km/h, steptronic transmission, sports package (tofauti na haya mengine kina Altezza, Subaru, Mark X, Verossa etc. Nakushauri usichukue 3 Series ya kawaida, chukua 3 Series M Sports. Bei hazitofautiani sana hasa kama unaagiza toka Japan.

hii hapa 3 Series M Sports Model..

6308187425_b4725398c2_z.jpg


na hii Standard 3 Series

BMW_3er_(E46,_1998%E2%80%932001)_front_MJ.JPG


E46_325i_Top_Speed.jpg


Spare part zipo za kutosha. Ukiagiza BMW yoyote nitafute kwenye number 0716-904626 au 0767-174757 kwaajili ya spare parts upgrades mbali mbali na interesting modifications za BMW utapenda. mfano hizi hapa chini..

RGB-LED-BMW-Angel-Eye-Halo-11.jpg
BMW-2-Series-Convertible-Door-Lamp-Logo.jpg
LED-Car-door-step-courtesy-laser-projector-Shadow-Logo-Light-Lamp-lights-for-BMW-E60-E90.jpg
amber.jpg


cp4617425508672923990.jpg




mkuu huu mtambo ambao ni bei cheap naupata kwa bei gani
 

Attachments

  • BF393049_e017d5.jpg
    BF393049_e017d5.jpg
    48.5 KB · Views: 178
  • BF393049_f1d169.jpg
    BF393049_f1d169.jpg
    38.6 KB · Views: 174
ImageUploadedByJamiiForums1430072007.641356.jpg

Teeeeh njoo nkuuzie Series 1 hili wife kachoka kuliendesha anataka jeep sasa linajaza nafasi ya parking tu hapa home
 
Aisee humu kuna watu wanafanya vurugu,na humu humu kuna wataalam wanaoelezea magari hayo.
Sasa sijui hali inakuwaje.
Mie nimependa tu hizo gari,kwa kuchukulia watoto IFM safi kweli.



Naomba nichukulie 2014 lexus rx 450h awd, left hand toka marekani, japan staki.
Niko ifm mwaka wa pili &#128514;&#128514;
 
Back
Top Bottom