mkuu hongera sana kwa kugundua uwepo wa magari mengine mazuri zaidi ya Toyota.
Binafsi nigekushauri uchukue 3 series na uachane na hizo 1 Series.
BMW 1 Series ---->
BMW 3 Series ---->
Binafsi natumia BMW (E46) 3 Series M Sports mwaka wangu wa pili huu halijasumbua kabisa. Ni gari luxury sana, engine performance kubwa- top speed 250km/h, steptronic transmission, sports package (tofauti na haya mengine kina Altezza, Subaru, Mark X, Verossa etc. Nakushauri usichukue 3 Series ya kawaida, chukua 3 Series
M Sports. Bei hazitofautiani sana hasa kama unaagiza toka Japan.
hii hapa 3 Series M Sports Model..
na hii Standard 3 Series
Spare part zipo za kutosha. Ukiagiza BMW yoyote nitafute kwenye number 0716-904626 au 0767-174757 kwaajili ya spare parts upgrades mbali mbali na interesting modifications za BMW utapenda. mfano hizi hapa chini..