barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Dunia imebadilika sana, kuna wadada wakivaa tight jins ni shida, ukmwona uchi tofauti!siku hizi wakivaa nguo wananyegesha kuliko wakiwa uchi.
Nafikiri ndo maana wanaume tunaweza tukafukuzia demu na kuhangaika hadi kuspend ila ukigonga mara moja tu unakula kona.