BMW Convertible Shl 16 ml.

BMW Convertible Shl 16 ml.

KakaKiiza Wahaya na biashara wapi na wapi? that's why huna good customers service language
Ulitaka niweje kwa mambwiga kama hawa nawapa stahili yao kwani najua Nothing i am loosing kwa wato hao kwanza siwanunuaji bali maji taka yamejaa vinywani mwao
CC stata mzuka, GOOGLE
 
Last edited by a moderator:
manual ndiyo gari wewe mbona kuna baadhI nchi ya ulaya manual zinatumika nani kakuambia zama za manual zimeisha mkuu. GOOGLE
 
Last edited by a moderator:
tuwe wastaarabu kidogo mtu anatangaza bidhaa yake hakuna haja ya kuponda au kutoa kasoro kama mtu hutaki au hakikufai bora uchuune tu.
 
Unashangaa hiyo wakati kuna watu wanasukuma mitambo ya CC 4500 na ipo barabarani saa 24....
Muulize akiona Madiscover 5 anadhani ni cc ngapi huyo stata mzuka nishajua gari zake!hata gx100 anahara! achana na wavimba macho.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ulitaka cc660?siyo kila kitu mpaka ujibu ukiona ni maji marefu pitiliza au unapiga kimya!

Itabidi tumwite gsam aje awakumbushe ni gari gani mwanamume anatakiwa alimiliki.
 
Last edited by a moderator:
Gari nzuri sana...tulitoka nayo jbrg mpaka btbrigde......hapo mwendo safi...comfortability safi
 
Muulize akiona Madiscover 5 anadhani ni cc ngapi huyo stata mzuka nishajua gari zake!hata gx100 anahara! achana na wavimba macho.
Hao ndiyo wale wanaofiti kule ambako gsam aliviita V-Baby Walker.....Kama mfuko unaruhusu hanidanganyi mtu, gari lenye injini ya maana kama hilo lina raha yake, injini ikiitwa inaitika ndani ya sekunde.....
 
Last edited by a moderator:
tuwe wastaarabu kidogo mtu anatangaza bidhaa yake hakuna haja ya kuponda au kutoa kasoro kama mtu hutaki au hakikufai bora uchuune tu.
huyo mbwiga mbna siyo msitaarabu,!?
 
manual ndiyo gari wewe mbona kuna baadhI nchi ya ulaya manual zinatumika nani kakuambia zama za manual zimeisha mkuu. GOOGLE
wadanganye wengine, labda driving school zitakuwepo huko Europe lakini mitaani katika magari 1000 labda moja tu ndo manual,
 
Last edited by a moderator:
Gari kali bwana nembo bmw cio ist jamani,bro me ntaktafta kwa inshu nyingine za kiofisi
 
. GOOGLE inaelekea manual wewe huzikubali kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom