Teh teh teh ndoa ya KIKRISTO hiyo!! Afu manual sasa au ndo real man use 3 pedals?Mkuu ulitaka cc660?siyo kila kitu mpaka ujibu ukiona ni maji marefu pitiliza au unapiga kimya!
acha mbwembwe kigari chenyewe kimechoka, manual ya nini karne hii! Afu unakuwa jeuri rti.Wewe tembelea magari ya dadazako waliyohongwa jamii ya vitz yenye thamani ya perfume hapa achana napo!
Wewe tembelea magari ya dadazako waliyohongwa jamii ya vitz yenye thamani ya perfume hapa achana napo!
acha mbwembwe kigari chenyewe kimechoka, manual ya nini karne hii! Afu unakuwa jeuri rti.
Mkuu ulitaka cc660?siyo kila kitu mpaka ujibu ukiona ni maji marefu pitiliza au unapiga kimya!