Bluray yuko wapi?

Where are you Pundit? More than a year, binafsi sijabahatika kusoma post or thread yako tena. He/she was my english editor!!! Kiingereza chake ni lazima uwe na dictinary pembeni. I adored him/her very much. Invisible kama hata member bahati mbaya ameaga dunia fanyeni utaratibu wa kutujulisha kama mkipata habari japo msiseme jina lake halisi. Najua kuna baadhi ya members mnawafahamu , hasa wale wa muda mrefu au? Correct me if I am wrong!!
 

I miss that dude... i wish ningekutana naye in Dar kama yupo bongo kwa style yake mnaweza mkamaliza the whole JD bottle humu mnapata talks mazee!!!
 


Wewe mshamba halafu limbukeni.Wapi nilipoandika kuwa ni wanugu tu ndiyo wanaharibu english grammar?Madoido ya kumgoga nani hapa.Umefanya kosa kiri kosa,hadithi nyiiingi..Matoz bana saa nyingine michosho kweli
 
Nduguzanguni, tafaanalek kufa hakuna breki!

Chafya!!!

Nilikuwa Kimanzichana, Mkuranga na Salasala nafukuzia viwanja, si unajua tena ardhi haiozi na mafisadi wanataka kukata mapande yote, sasa tunabanana.Pia naonana na wazee wa busara wananipa mikanda kabla hawajaanza wanavyosema wenyewe, nawarekodi vizuri tu. Nikirudi safari ya kusini naenda Mwananyamala nipate mikanda ya TANU ambayo haijapatikana rasmi kwa wananchi, halafu ntaenda Unguja na Pemba kuongea na washashi wasiotaka muungano niwasikilize kesi yao. Kamera langu halikosi ili nisije kuambiwa muongo. Nasikia kuna watu wanataka mpaka kumzodoa Maalim Seif huko, unaposikia Zanzibar kuna Hamas shurti ukae chonjo ati.

Nipo vumbini kwa wana wa nchi.Sasa ukichangia na mambo ya mitandao ya kupigwa vumbi tena, mambo ya madogori, ngoma za kucheza, kutambika, kuona vitoto vilivyozaliwa wakati sie tunahemea na pilika nyingine za kuzushiwa basi ngoma imekuwa nzito.

Lakini nipo, purukushani tupu.Hivyo nataka kwenda Somanga nikaangalie mipango ya pande za Songosongo na Kilwa kisiwani inaendaje huko. Sitaki kumwaga kuku kwenye mchele mwingi, subiri kitabu, ukinunue hivyo si kudoea.

Na hapana, sijapigwa ban, simo katika tafrani za uchaguzi, na wala Mwanahawa hajanikamata ingawa katika ngoma ya kumtoa Sikudhani alikuwa ananilenga, lakini hayo ya siku nyingine.

Kwa sasa naona lori linataka kuniacha na inabidi tufike darajani Rufiji kabla ya madogori.

Ahsanteni kwa kujali, mizimu imesema kumtukana mulungu hata kama hayupo si vizuri kwa hiyo mwaka huu kimya kimya kiaina.

Baadeni na shukuruni.
 

Safi, angalia mvua mkuu, naona umeingia mitini snoo.

Wasalaam MJ
 


Asante sana Bluray kwa taarifa, kila la kheri katika shughuli zako. Tunasubiri kitabu kwa hamu kubwa!

Asante sana,


Annina
 
Its Malawi 3 Algeria nil... Bwino sana
 

Karibu sana, heri ya mwaka mpya
 
Dah Mkuu Bluray uliyemshikia Mkuu Pundit na rafiki wa karibu sana na Mkuu Kiranga nafurahia sana kukusoma.........

Dilunga mshikaji naye sijui vipi.....!
 


Pundit is alive and kicking......wacha nitamuuliza JF kulikoni sijui katususia???
 

karibu sana Brulay tulikumiso naomba next time nishikie heka moja na mie
 
Mkuu Kitabu chako kitakuwa katika Lugha gani vile LoL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…