Yaaah! Where is that dude with his Complicated k-CNN
Kaenda kozi ya Dictionary Cambridge.Akirudi mtamsikia tu msihofu
.Au ndio yule MC wa kule moshi??
Wow..I guess in this reincarnation even Kiranga don't know the whereabouts of Bluray..Lol
Pamoja na kumkimbiza Bluray hapa siku nyingine angalia pia na grammar yako kabla ya ku post.Hapo nilipo bold ilibidi uandike doesn't na siyo dont.
Pamoja na kumkimbiza Bluray hapa siku nyingine angalia pia na grammar yako kabla ya ku post.Hapo nilipo bold ilibidi uandike doesn't na siyo dont.
Najua hilo na niliandika hivyo kwa makusudi tu. Hood grammar...
Si kweli kwamba Omega hajui English grammar, alikuwa anaongea Negro dialect tu.
Omega,
No Negro dialects up in heeeereee.
Najua hilo na niliandika hivyo kwa makusudi tu. Hood grammar...
Si kweli kwamba Omega hajui English grammar, alikuwa anaongea Negro dialect tu.
Omega,
No Negro dialects up in heeeereee.
Huo ndiyo ujinga wenyewe sasa.Yaani hata kama unajua kiingereza safi kwavile mnugu anaongea hivyo basi nawewe unafata mkumbo?Hata muwaige vipi wenzenu hawawataki na hamtaweza kufanana nao.
And where the heck is Kuhani? Lol....that dude was something else...
To me, Bluray sounds very similar to Kuhani. I am almost certain, oh wait, may be Bluray=Kuhani.
Jamani Bluray yuko wapi? , Xmass si iliisha bado anahesabiwa tu?
He is greatly missed here!..I will ask Companero on the whereabouts of this fellow!
To me, Bluray sounds very similar to Kuhani. I am almost certain, oh wait, may be Bluray=Kuhani.
jamani huwa wanajamii mnakutana wapi ili nije kufahamiana na nyie ana kwa ana?kweli sijamuona siku nyingi, where are you pal?