Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Nina wasiwasi hujaelewa nilichoandika au la mimi ndo sijakuelewa. uliza swali ikiwa unaloDuh! thesis yako imekaa tenge kweli - kwamba ukimwi unaanzia kwa mtu na kuishia kwake mwenyewe halafu unaongelea kuambukiza. Hii kiboko!!!!!!!!!
O+VE, ndio wanasemekana wana uwezo wa kupambana na Maradhi mengi?
Thats why nimeuliza cuz niliposikia sikusadiki. Ngoja dokta akuje atupe majibu kamili.
Hii itakua 'sayanzi' na sio 'sayansi'. Mbona wengi tu wa hilo group wanakufa kwa ngoma!
HIV anapata mtu yeyote na wa group lolote,sema baadhi ya ma group ndo yanakuwa na resistance kubwa kukubaliana na hali halisi lakini mwisho wa siku virus wanakuwepo tu.
Uongo mkubwa,nina mtu wangu wa karibu mno ni hilo group tajwa na ana HIV
[SIZE=+1]"If there is evidence that HIV causes AIDS, there should be scientific documents which either singly or collectively demonstrate that fact, at least with a high probability. There is no such document."[/SIZE] Dr. Kary Mullis, Biochemist, 1993 Nobel Prize for Chemistry.
[SIZE=+1]
"Up to today there is actually no single scientifically really convincing evidence for the existence of HIV. Not even once such a retrovirus has been isolated and purified by the methods of classical virology."[/SIZE]
Dr. Heinz Ludwig Sanger, Emeritus Professor of Molecular Biology and Virology, Max-Planck-Institutes for Biochemistry, Munchen.
HIV & AIDS - VirusMyth HomePage
maajabuyamaji2.artisteer.net
Duh! thesis yako imekaa tenge kweli - kwamba ukimwi unaanzia kwa mtu na kuishia kwake mwenyewe halafu unaongelea kuambukiza. Hii kiboko!!!!!!!!!
Nakubaliana na wewe kwamba UKIMWI/AIDS hauambukizi. Naamini hujakusudia kusema VVU/HIV pia haiambukizi.....kwa sababu kisayansi tunajua virusi vyaweza toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.UPUNGUFU WA KINGA MWILINI (UKIMWI), ni ugonjwa (upungufu wa maji mwilini) ambao kila mtu anaweza kuupata, yaani ukiuguwa mafua kwa mfano ni kusema kinga yako ilipunguwa kiasi cha virusi vya mafua vimeweza kuitikisa kinga yako!, la sivyo usingeuguwa mafua kwa kuwa kinga unayo na haikupunguwa.
Kupunguwa na kupanda kwa kinga ya mwili ni jambo linalotokea mwilini karibu kila siku kutegemea na mambo mengi kama vile chakula, fiziolojia na kemia ya mwili. Kinga ya mwili si kitu kinachotengenezwa siku moja!, la hasha, kinga ya mwili inapaswa kuanza kutengenezwa tangu binadamu akiwa tumboni mwa mama na mtoto akishazaliwa anapaswa kuanza kutengenezewa kinga yake na aelekezwe namna ya kufanya hivyo atakapokuwa mkubwa.
Hakuna kitu kinaitwa kirusi au hiv ambacho husababisha UKIMWI au AIDS!, UKIMWI au AIDS ni ugonjwa unaoanzia ndani ya mtu mwenyewe na huishia kwa mtu mwenyewe huyo huyo, yaani UKIMWI si ugonjwa wa kuambikizana, mtu mmoja hawezi kumpa UKIMWI mtu mwingine!.
kwa hiyo haijalishi upo group gani la damu, UKIMWI utaupata tu.
watercure2.org
watercure.com
healsa.co.za
harmonikireland.com
virusmyth.com/aids/
maajabuyamaji2.artisteer.net
Wewe nawe na hayo Maajabu yako ya maji tumekuchoka sasa! Haya hebu fanya basi maajabu yako ili tutumie hayo maji yako mpaka kwenye magari basi utusaidie, maana kila kitu wewe solution ni mimaji tuu, mwisho utasema hata katiba mpya itengewe kifungu cha maji....maji...maji...maji..kila siku maji tu. Tumekunywa mpaka matumbo yametuvimba hapa...............
hapa naona nipo comfused.........
wacha mimba hata kusimamisha kwao ni shuguliHata mimba pia uwa hawapati.
Nakubaliana na wewe kwamba UKIMWI/AIDS hauambukizi. Naamini hujakusudia kusema VVU/HIV pia haiambukizi.....kwa sababu kisayansi tunajua virusi vyaweza toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
haya ndio yale yale ya babu wa loliondo nilidhani watanzania tumepata somo kumbe wapi!!!Je hili ni kweli jameni? Nimesikia mtu akitamba kuwa hawezi pata virus due to his blood group.