Blood group O hawapati HIV

Blood group O hawapati HIV

Mkuu Riwa, sasa wewe ulitaka watangaziwe kuwa wao hawapati ngoma ili iweje? Wangetangaziwa hivyo dunia isingetosha hii!!!!
SI KWELI HATA KIDOGO.....HAKUNA MAANDIKO/CHAPISHO YOYOTE YA KISAYANSI YALIYOWAHI KUSEMA HIVYO! Kama wewe ni blood group O+ve au O-ve...vaa kondomu kama kawa!
 
Dunia bila ukimwi inawezekana na wala haipo mbali, zamani walikuwa wanasema mama mwenye ukimwi akizaa mtoto kamwe mtoto asinyonye maziwa ya mama, Nesi mmoja wa hospitali ya wilaya ya mafia ameniambia kuwa siku hizi wameruhusiwa kunyonyesha!
 
Wewe nawe na hayo Maajabu yako ya maji tumekuchoka sasa! Haya hebu fanya basi maajabu yako ili tutumie hayo maji yako mpaka kwenye magari basi utusaidie, maana kila kitu wewe solution ni mimaji tuu, mwisho utasema hata katiba mpya itengewe kifungu cha maji....maji...maji...maji..kila siku maji tu. Tumekunywa mpaka matumbo yametuvimba hapa...............

wewe kama hayana manufaa kwako kaa kimya. Tulio na matatizo ya kiafya yanatupatia maajabu zaidi ya milion. Wewe unayeteseka na magojwa kunywa maji uone maajabu ya kitabibu
 
jaribu peku peku utaona mziki wake
 
Mkuu, nadhani unatambuwa kuwa MAJI NI UHAI, ikiwa unaamini MAJI NI UHAI, maana yake ni nini?.

Leo hii nikikuuliza kati ya jua na dunia kipi kinamzunguka mwezake?, mara moja utajibu ni dunia ndiyo inayolizunguka jua. Unaweza kujibu hivyo leo hii kwa sababu ndivyo ulivyofundishwa darasani miaka hii.

Mpaka karne ya kumi na tano (katika miaka ya 1500), watu wote waliamini kuwa ni jua ndilo linaloizunguka dunia, mpaka alipokuja mwanasayansi Galileo galilei katika karne ya 16 yaani miaka kama 1600 baadaye akathibitisha kuwa ni DUNIA ndiyo hulizunguka JUA na si kinyume chake, ALIPINGWA VIKALI MWANZONI, Lakini ndiyo sababu ya wewe leo kumfundisha mwingine kuwa dunia ndiyo inalizunguka jua.

Mabadiliko ya mambo kwa staili hii huitwa PARADIGM SHIFT, yaani unapata ukweli wa jambo tofauti kabisa na namna jambo lilivyowasilishwa mara ya kwanza. Kwa kawaida mabadiliko ya namna hii huchukuwa muda kutokea lakini mwisho lazima yatatokea. Wanasema ukweli daima utashinda.

Dr.Batmanghelidj (WaterCure | About Dr. B), hatimaye aligunduwa kuwa: ‘Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa – dr. Batmanghelidj’.

"There is a principle which is a bar against all information, which is proof against all argument, and which cannot fail to keep man in everlasting ignorance. That principle is condemnation without investigation." - *Herbert Spencer*.

Naamini mtu anaweza akapungukiwa kinga ya mwili kwa sababu nyingi za kimaisha, lakini siamini kuwa kuna kitu kinaitwa HIV au Kirusi cha ukimwi husababisha ukimwi na kuwa eti ukimwi hautibiki.

Ukimwi hauletwi na kirusi cha ukimwi wala ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana. kinga ya mwili inaweza kurudishwa mwilini kirahisi kabisa bila dawa yeyote.

kunywa maji kabla ya kiu, maji ni zaidi ya dawa kwa kila ugonjwa, na hata unapokunywa dawa unatumia maji kumeza.
maajabuyamaji2.artisteer.net

Useful post
 
wewe kama hayana manufaa kwako kaa kimya. Tulio na matatizo ya kiafya yanatupatia maajabu zaidi ya milion. Wewe unayeteseka na magojwa kunywa maji uone maajabu ya kitabibu

Safi mkuu, tuendelee kujifunza namna tuwezavyo kutumia maji na kujitibu na ugonjwa wowote katika maajabuyamaji2.artisteer.net au watercure.com au watercure2.org
 
Je hili ni kweli jameni? Nimesikia mtu akitamba kuwa hawezi pata virus due to his blood group.

[SIZE=-2]VIRUSMYTH HOMEPAGE[/SIZE]
[SIZE=+4]CONTROVERSY[/SIZE]

  • Dr. Kary Mullis, Biochemist, 1993 Nobel Prize for Chemistry:
    mullis.jpg
[SIZE=+1]"If there is evidence that HIV causes AIDS, there should be scientific documents which either singly or collectively demonstrate that fact, at least with a high probability. There is no such document."[/SIZE][SIZE=-2](Sunday Times (London) 28 nov. 1993)[/SIZE]

  • Dr. Heinz Ludwig Sänger, Emeritus Professor of Molecular Biology and Virology, Max-Planck-Institutes for Biochemy, München. Robert Koch Award 1978:
[SIZE=+1] "Up to today there is actually no single scientifically really convincing evidence for the existence of HIV. Not even once such a retrovirus has been isolated and purified by the methods of classical virology." [/SIZE][SIZE=-2](Letter to Süddeutsche Zeitung 2000)[/SIZE]

  • Dr. Serge Lang, Professor of Mathematics, Yale University:
[SIZE=+1]"I do not regard the causal relationship between HIV and any disease as settled. I have seen considerable evidence that highly improper statistics concerning HIV and AIDS have been passed off as science, and that top members of the scientific establishment have carelessly, if not irresponsible, joined the media in spreading misinformation about the nature of AIDS."[/SIZE][SIZE=-2](Yale Scientific, Fall 1994)[/SIZE]

  • Dr. Harry Rubin, Professor of Molecular and Cell Biology, University of California at Berkeley:
    rubin.jpg
[SIZE=+1]"It is not proven that AIDS is caused by HIV infection, nor is it proven that it plays no role whatever in the syndrome."[/SIZE][SIZE=-2] (Sunday Times (London) 3 April 1994)[/SIZE]

  • Dr. Richard Strohman, Emeritus Professor of Cell Biology at the University of California at Berkeley:
[SIZE=+1]"In the old days it was required that a scientist address the possibilities of proving his hypothesis wrong as well as right. Now there's none of that in standard HIV-AIDS program with all its billions of dollars."[/SIZE][SIZE=-2](Penthouse April 1994)[/SIZE]

  • Dr. Harvey Bialy, Molecular Biologist, former editor of Bio/Technology and Nature Biotechnology:
    bialy.jpg
[SIZE=+1]"HIV is an ordinary retrovirus. There is nothing about this virus that is unique. Everything that is discovered about HIV has an analogue in other retroviruses that don't cause AIDS. HIV only contains a very small piece of genetic information. There's no way it can do all these elaborate things they say it does."[/SIZE][SIZE=-2] (Spin June 1992)[/SIZE]

  • Dr. Roger Cunningham, Immunologist, Microbiologist and Director of the Centre for Immunology at the State University of New York at Buffalo:
[SIZE=+1]"Unfortunately, an AIDS 'establishment' seems to have formed that intends to discourage challenges to the dogma on one side and often insists on following discredited ideas on the other."[/SIZE][SIZE=-2](Sunday Times (London) 3 April 1994)[/SIZE]

  • Dr. Gordon Stewart, Emeritus Professor of Public Health, University of Glasgow:
    stewart.jpg
[SIZE=+1]"AIDS is a behavioural disease. It is multifactorial, brought on by several simultaneous strains on the immune system - drugs, pharmaceutical and recreational, sexually transmitted diseases, multiple viral infections."[/SIZE][SIZE=-2] (Spin June 1992)[/SIZE]

  • Dr. Alfred Hässig, (1921-1999), former Professor of Immunology at the University of Bern, and former director Swiss Red Cross blood banks:
    hassig.jpg
[SIZE=+1]"The sentence of death accompanying the medical diagnosis of AIDS should be abolished."[/SIZE][SIZE=-2] (Sunday Times (London) 3 April 1994)[/SIZE]

  • Dr. Charles Thomas, former Professor of Biochemistry, Harvard and John Hopkins Universities:
[SIZE=+1]"The HIV-causes-AIDS dogma represents the grandest and perhaps the most morally destructive fraud that has ever been perpetrated on young men and women of the Western world."[/SIZE][SIZE=-2] (Sunday Times (London) 3 April 1994)[/SIZE]

  • Dr. Joseph Sonnabend, New York Physician, founder of the American Foundation for AIDS Research (AmFAR):
    sonnabend.jpg
[SIZE=+1]"The marketing of HIV, through press releases and statements, as a killer virus causing AIDS without the need for any other factors, has so distorted research and treatment that it may have caused thousands of people to suffer and die."[/SIZE][SIZE=-2](Sunday times (London) 17 May 1992)[/SIZE]

  • Dr. Andrew Herxheimer, Emeritus Professor of Pharmacology, UK Cochrane Centre, Oxford:
[SIZE=+1]"I think zidovudine [AZT] was never really evaluated properly and that its efficacy has never been proved, but it's toxicity certainly is important. And I think it has killed a lot of people. Especially at the high doses. I personally think it not worth using alone or in combination at all."[/SIZE][SIZE=-2](Continuum Oct. 2000)
[/SIZE]
  • Dr. Etienne de Harven, Emeritus Professor of Pathology, at the University of Toronto:
    deharven2.jpg
[SIZE=+1]"Dominated by the media, by special pressure groups and by the interests of several pharmaceutical companies, the AIDS establishment efforts to control the disease lost contact with open-minded, peer-reviewed medical science since the unproven HIV/AIDS hypothesis received 100% of the research funds while all other hypotheses were ignored."[/SIZE][SIZE=-2](Reappraising AIDS Nov./Dec. 1998)[/SIZE]

  • Dr. Bernard Forscher, former editor of the U.S. Proceeding of the National Academy of Sciences:
[SIZE=+1]"The HIV hypothesis ranks with the 'bad air' theory for malaria and the 'bacterial infection' theory of beriberi and pellagra [caused by nutritional deficiencies]. It is a hoax that became a scam."[/SIZE][SIZE=-2](Sunday Times (London) 3 April 1994)
[/SIZE]

source: Citations by HIV - AIDS dissidents
 
Mkuu, nadhani unatambuwa kuwa MAJI NI UHAI, ikiwa unaamini MAJI NI UHAI, maana yake ni nini?.

Leo hii nikikuuliza kati ya jua na dunia kipi kinamzunguka mwezake?, mara moja utajibu ni dunia ndiyo inayolizunguka jua. Unaweza kujibu hivyo leo hii kwa sababu ndivyo ulivyofundishwa darasani miaka hii.

Mpaka karne ya kumi na tano (katika miaka ya 1500), watu wote waliamini kuwa ni jua ndilo linaloizunguka dunia, mpaka alipokuja mwanasayansi Galileo galilei katika karne ya 16 yaani miaka kama 1600 baadaye akathibitisha kuwa ni DUNIA ndiyo hulizunguka JUA na si kinyume chake, ALIPINGWA VIKALI MWANZONI, Lakini ndiyo sababu ya wewe leo kumfundisha mwingine kuwa dunia ndiyo inalizunguka jua.

Mabadiliko ya mambo kwa staili hii huitwa PARADIGM SHIFT, yaani unapata ukweli wa jambo tofauti kabisa na namna jambo lilivyowasilishwa mara ya kwanza. Kwa kawaida mabadiliko ya namna hii huchukuwa muda kutokea lakini mwisho lazima yatatokea. Wanasema ukweli daima utashinda.

Dr.Batmanghelidj (WaterCure | About Dr. B), hatimaye aligunduwa kuwa: ‘Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa – dr. Batmanghelidj’.

"There is a principle which is a bar against all information, which is proof against all argument, and which cannot fail to keep man in everlasting ignorance. That principle is condemnation without investigation." - *Herbert Spencer*.

Naamini mtu anaweza akapungukiwa kinga ya mwili kwa sababu nyingi za kimaisha, lakini siamini kuwa kuna kitu kinaitwa HIV au Kirusi cha ukimwi husababisha ukimwi na kuwa eti ukimwi hautibiki.

Ukimwi hauletwi na kirusi cha ukimwi wala ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana. kinga ya mwili inaweza kurudishwa mwilini kirahisi kabisa bila dawa yeyote.

kunywa maji kabla ya kiu, maji ni zaidi ya dawa kwa kila ugonjwa, na hata unapokunywa dawa unatumia maji kumeza.
maajabuyamaji2.artisteer.net
nyie ndio wale wajasiliamali mnaouza BIODISC????
 
Dunia bila ukimwi inawezekana na wala haipo mbali, zamani walikuwa wanasema mama mwenye ukimwi akizaa mtoto kamwe mtoto asinyonye maziwa ya mama, Nesi mmoja wa hospitali ya wilaya ya mafia ameniambia kuwa siku hizi wameruhusiwa kunyonyesha!
mama aliyeruhusiwa kunyonyesha ni yule ambaye hawezi kununua maziwa mbadala,yule ambaye hawezi kuweka maziwa mbadala katika hali ya usafi,yule ambaye mila yake au jamii yake itamtenga iwapo hatanyonyesha otherwise mama mwenye ukimwi msomi,msafi na mwenye hela atashauriwa kumpa mtoto maziwa mbadala.nashauri tusikurupuke kuongelea vitu tusivyovielewa,wewe unaleta evidence za 'manesi' wa hospitali za wilaya au google search wakati humu JF kuna madaktari na qualified nurses wa kutosha!!
 
SACRAMENTO, Calif. - A woman who competed in a radio station's contest to see how much water she could drink without going to the bathroom died of water intoxication, the coroner's office said Saturday.
Jennifer Strange, 28, was found dead Friday in her suburban Rancho Cordova home hours after taking part in the "Hold Your Wee for a Wii" contest in which KDND 107.9 promised a Nintendo Wii video game system for the winner.
"She said to one of our supervisors that she was on her way home and her head was hurting her real bad," said Laura Rios, one of Strange's co-workers at Radiological Associates of Sacramento. "She was crying and that was the last that anyone had heard from her."
It was not immediately know how much water Strange consumed.
A preliminary investigation found evidence "consistent with a water intoxication death," said assistant Coroner Ed Smith.
John Geary, vice president and marketing manager for Entercom Sacramento, the station's owner, said station personnel were stunned when they heard of Strange's death.
"We are awaiting information that will help explain how this tragic event occurred," he said.
Advertise | AdChoices
Advertise | AdChoices

Advertise | AdChoices

Initially, contestants were handed eight-ounce bottles of water to drink every 15 minutes.
"They were small little half-pint bottles, so we thought it was going to be easy," said fellow contestant James Ybarra of Woodland. "They told us if you don't feel like you can do this, don't put your health at risk."
Ybarra said he quit after drinking five bottles. "My bladder couldn't handle it anymore," he added.
After he quit, he said, the remaining contestants, including Strange, were given even bigger bottles to drink.
"I was talking to her and she was a nice lady," Ybarra said. "She was telling me about her family and her three kids and how she was doing it for kids."

wewe unayetuambia tunywe mimaji bila kusema kiasi gani kwa siku soma madhara ya kunywa maji hapo juu!
 
kujuwa kiasi unachohitaji cha maji kwa siku bonyeza je, tiba kwa kutumia maji inafanyikaje | maajabu ya maji.
 
hivi mtu wa kawaida kule kijijini asiye na access ya machapisho ya kimtandao huwa anakunywa maji kiasi gani kwa siku?inaonekana mnajifanya wataalamu kwa kuelezea "kawaida"

halafu ningependa kujua ni watu wangapi waliougua T.B au saratani wamepona kwa kunywa maji pekee.
Hivi watanzania tumelogwa?leo utasikia kakobe anaponya kesho utasikia babu wa loliondo na kikombe chake kimoja,keshokutwa anakuja fadhili paulo na tiba zake za maji aaaaagrrrr!!!
 
huyu alikuwa anakunywa maji lita saba kwa siku!!!, maximum kwa siku ni lita 3.5 na hairuhusiwi kunywa yote kwa pamoja bali yagawanywe mara 8 kwa siku, kila mtu ana kiasi cha maji anachopaswa kunywa kwa siku kutegemea na uzito wake. kujuwa kiasi unachohitaji cha maji kwa siku bonyeza je, tiba kwa kutumia maji inafanyikaje | maajabu ya maji.
 
hivi mtu wa kawaida kule kijijini asiye na access ya machapisho ya kimtandao huwa anakunywa maji kiasi gani kwa siku?inaonekana mnajifanya wataalamu kwa kuelezea "kawaida"

halafu ningependa kujua ni watu wangapi waliougua T.B au saratani wamepona kwa kunywa maji pekee.
Hivi watanzania tumelogwa?leo utasikia kakobe anaponya kesho utasikia babu wa loliondo na kikombe chake kimoja,keshokutwa anakuja fadhili paulo na tiba zake za maji aaaaagrrrr!!!

mkuu zamani kidogo tu internet ilikuwa issue, mpaka uende intanet cafe ulipie pengine mpaka 1500 kwa saa, sasa intanet zimo katika simu na magazeti yanafika sehemu nyingi zaidi tofauti na zamani, tofauti na hapo zipo redio na tv zinaonekana nchi nzima. Ikiwa una mtu yeyote kule kijijini na unajuwa hawezi kupata access ya internet, download material unayoona yanafaa na umtumie kwa basi au kwa posta. kumi huanza na moja.

kuwapata watu walioopona kwa kutumia maji pekee funguwa: Testimonials, hapo kuna shuhuda za watu kutokana na magonjwa waliyopona kutoka A mpaka Z. mwingine ni mimi mwenyewe 0769779533 nilikuwa na matatizo ya macho kiasi kusoma bila miwani isingewezekana, ukiacha macho tangu nimeanza kunywa maji kwa staili hii tangu 2006 mpaka leo hata kichwa tu sijawahi kuumwa. Ikiwa unauumwa au una mtu unamfahamu anaumwa nitumie sms katika namba hiyo hapo juu na nitakuelekeza. zaidi unaweza kuendelea kujisomea kuhusu tiba kwa kutumia maji katika: maajabuyamaji2.artisteer.net

hakuna asiyejuwa kuwa si watu wote wanaopata mashapisho ya intaneti, ndiyo maana mara mbili dr.RIWA alinishauri hapa hapa jamvini kuwa niandike pia katika magazeti, mara zote post zangu dr. RIWA huzipatia ''like''. kwa hiyo wewe mwenye bahati hiii ya kusoma katika intaneti tusaidiane kufikisha ujumbe kwa wengine. tunaweza kuulizana maswali na kujadili kwa pamoja lakini kunishambulia tu haileti maana.

"kujielimisha ni kutafuta ukweli wa mambo, kwenda shule hutusaidia tu, japo hatuwezi kwenda shule, twaweza kujielimisha – Mwl.J.k.Nyerere".
 
SI KWELI HATA KIDOGO.....HAKUNA MAANDIKO/CHAPISHO YOYOTE YA KISAYANSI YALIYOWAHI KUSEMA HIVYO! Kama wewe ni blood group O+ve au O-ve...vaa kondomu kama kawa!
jibu lako ni zuri lakini jinsi ulivyoanza nimetishika kidogo,huwezi kusema sio kweli bila ya kufanya utafiti.nashauri utafiti ufanyike kwanza halafu tupate majibu ambayo yatakuwa machapisho au maandiko kama ulivyonena.naomba urekebishe na kusema yaweza KUWA NI KWELI AU SI KWELI.yote kwa yote kwa kuwa hatuna ushahidi ni vizuri tukaendelea kutumia kinga mbalimbali ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya ukimwi.
 
Back
Top Bottom