MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Nina +AB , Mimi ni mkali wa maths tangu primary mpaka Chuo. Katika top 2 ya Darasa lazima ni wemo.Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati
Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Hata Mimi pia. Kuugua kwà kweli sijui hospital mara ya mwisho niliendaga lini.AB + nipo hapa...hata panadol cijui...wengine zitatuua ajal tu...ila magonjwa cyajui
And funny thing about this group lina Watu wachache Duniani😀Basi hapa kila mtu atakuwa AB.
Haya tuletee na wenye O
AB wana Kinga Imara lakini O hawana Kinga imara ya Kipindu pindu, tafiti inaonesha Kipindu pindu hua kinawamaliza sana group OKwahiyo siku hizi wakali wa kutokuugua ni AB na sio O tena?
Kheeeee! 🙆♀️Hivi kuna uwezekano wa mtu kuhama group...?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hivi kuna uwezekano wa mtu kuhama group...?
Kaona hilo group zuri [emoji38][emoji38][emoji38]Kheeeee! [emoji2296]
Yaani utolewe damu yote au?
hii haina uhusiano wowote na ishu za blood group kama unaelewa maana ya blood groupWengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi.
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati. Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Lenye watu wengi ni lipi? O au?And funny thing about this group lina Watu wachache Duniani😀
Mimi ni B+ tho
Masihara zaidi O inasemekana hawapatagi UkimwiAB wana Kinga Imara lakini O hawana Kinga imara ya Kipindu pindu, tafiti inaonesha Kipindu pindu hua kinawamaliza sana group O
😃yaniiKwahiyo siku hizi wakali wa kutokuugua ni AB na sio O tena?
Yes, O lina watu wengi tena hasa bara la Afrika wengi sana ni O na group AB lina 3% tu ya watu dunianiLenye watu wengi ni lipi? O au?
Group o Yani hamna kitu na ni wazinzi balaa.Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi.
Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati. Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
Hizo ni Myth my dear hakuna kitu kama hicho, na kuna wengine walisema O ni Carrier wa hivyo virus yaan wao wanaambukiza lakini hawapati dalili wala magonjwa, sio kweli....Masihara zaidi O inasemekana hawapatagi Ukimwi
Ni utoto tu akikua ataachaKaona hilo group zuri [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Yet ni kilazaMy blood group[emoji4]
Hapa ni jukwaa la mambo msetoHuu Uzi uende kny forum ya afya