Blogu ya Ikulu...

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Wameshindwa ku-manage ipasavyo website sasa wamekuja na hii...sijui nchi ni sawa kutokuwa na website madhbut na kuwa na blogu badala yake?...mimi naona ni kama ya Salva tu......

Ikulu Mawasiliano
 
hahhaa hatuna viongozi..hakun mtu ambaye yuko serious hapa kabisa ..thena tunawalipa dowans mamilioni ya pesa ...mijitu imejikalia tu inapewa mishahara bila kufanya kazi
 
Waliogopa msifahamu ishu zao. Waweke blogu halafu wafisadi vp?wacha bwana hawa watu wamesoma
 
Nimecheka karibu ya kufa kwa hii joke niliyoikuta huko

Shukrani za Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Uchaguzi

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema katika siku zote 65 tulizozunguka nchi nzima kuomba kura. Tumesafiri kwa gari takriban kilometa 24,000, kwa ndege saa 180 na kuhutubia mara 706......Nawashukuru Watanzania wenzangu kwa imani kubwa mlioionyesha kwangu na kwa Chama Cha Mapinduzi kwa kutuchagua tena kuongoza nchi yetu kwa miaka mingine mitano.

Mmetupa idhini ya kuongoza isiyo na shaka hata kidogo. Mmetupa ushindi wa kishindo. Mmetupa nguvu ya kisiasa ya
kutekeleza yale tuliyoyaahidi.
 
Hii ni blog ya mama Salma au ya ikulu mbona kila kona mama salma hakuna jipya wanazidi kuchemsha
 
Back
Top Bottom