Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Blog ya Dj choka ipo safi sana na blog ya millard ayo,dj fetty safi!! Ya pretty sintah inaitaji permanent ban!!
duuh!...!Topic ni nzuri !
Kuna blog inaitwa Full Shangwe. Hii nadhani wabadilishe jina.
Maana wakati mwingine inakuwa habari za huzuni lakini jina linaharibu.
Mfano;
Full Shangwe: Saitoti Afariki nk
U turn Blog... hapa kuna matatizo na ajabu voda n castle light wanazamini....Blog ya Dj choka ipo safi sana na blog ya millard ayo,dj fetty safi!! Ya pretty sintah inaitaji permanent ban!!
Blog ya Dj choka ipo safi sana na blog ya millard ayo,dj fetty safi!! Ya pretty sintah inaitaji permanent ban!!
Blogu ya DJ choka ni choka kama yeye mwenyewe. Yeye siku zote huweka wapuuzi wenzake tu (wanna bees) na hakuna cha maana cha kuelimisha zaidi ya kuona vijana wakiuza sura na nyimbo zisizokuwa na maadili katika jamii yetu. Millard Ayo kidogo ila nimeacha kuipitia kutokana na mambo yale yale ya kijinga ya kuzishi. Cintah, 8020 fashions, U-turn, Mtaa kwa mtaa, michuzi jr, na za wasanii wengi tu zinafaa kufutwa kwani hazina maana zaidi ya kuuza sura. Blogs safi ni Mjengwa na kwanza jamii then Michuzi.
U turn Blog... hapa kuna matatizo na ajabu voda n castle light wanazamini....
mrs necha?????
U turn Blog... hapa kuna matatizo na ajabu voda n castle light wanazamini....
Na ile Blog ya Ben Kinyaiya imekaa KiCameroon zaidi!
Msiongelee JAMII FORUMS humu coz hii sio BLOG
Mkuu, shukrani kwa kunifumbua macho... usemayo ni kweli kabisa... kampuni zengine zipo kibiashara zaidi... kwa hiyo hata kama itakuwa mhusika wa blog anaweka picha zinazomuhusu yeye na ukoo wake ilimradi inatembelewa sana then ni sehemu muhimu kutegesha biashara bila kujali nn kinasaidia kupitia blog husikaNiliposoma maelezo yako nilijua moja kwa moja una maanisha Blog gani...ulipoona watu hawaitaji ukaamua kuitaja mwenye....huenda hujui ni kwanini Voda na Castle wameamua kudhamini U-turn..... angalia ni watu wangapi wanaitembelea....kwa siku..hasa kina dada.... na ndio maana wadhamini ni Castle Lite..!! na sio Konyagi!! hiyo ni akili ya biashara....nao wao wapo kibiashara zaidi..bila kujali ndani kuna nini!!!