Blogs: Building Your Online Presence

Blogs: Building Your Online Presence

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
929
Reaction score
149
"Blogs has the ability to loan people’s time and attention by putting readers at the heart of the solution".

kuna blog za aina tofauti kulingana na budget yako

Kuna self hosted na zile ambazo ni free hosted mfano

free hosted ni zile zinazoishia na .blogspot.com

na self hosted ni zile za .com

free hosted gharama itakua ni shilingi 65,000 kwa ajili ya kudesign. (interactive na responsive features).

self hosted itakua ni 65,000 + 25,000domain name + 4000 host plan/month = 138,000 kwa mwaka.

mfano ni

Ima Lukosi free hosted

Chapisha - Life Style & HobbiesChapisha | Life Style & Hobbies self hosted

maelezo zaidi utayapata kupitia hizo blog zangu mbili.

Wakuu ni wazo zuri sana kuwa na 'online presence'.

karibu

Kwa maelezo zaidi
0683953700
 
Back
Top Bottom