Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

Nataka kufungua blog, je kuna mtandao wa matangazo tofauti na adsense na ploppeller? Km unatumia content za kiswahili, je mtandao upi mzuri wa matangazo wa kujiunga nao?
 
Itaonekana kwa page na groups utakazo shea...
Walichofanya fb ili kupunguza fake news,ni kua habari za kwenye pages au groups hazitakua na kipaumbele kwenye newsfeed ya members wa hilo group au newsfeed ya watu walio like page hiyo,na hii ishaanza kuleta madhara makubwa kwenye post engagement and reach za pages mbalimbali.
Sijakuelewa mkuu, kwa hiyo ukishare post kutoka kwenye page itaonekana upande gani kama kwenye news feed haitakuwepo?
 
Duh! Hii sasa itakuwa ni shida kwa wale wazee wa kushare magroup ya sauzi
 
Uko sawa swa kabisa
 
Nataka kufungua blog, je kuna mtandao wa matangazo tofauti na adsense na ploppeller? Km unatumia content za kiswahili, je mtandao upi mzuri wa matangazo wa kujiunga nao?
1. Seebait.com
2. kwanza.co.tz
3. pinpointafrica.com
Hao hapo wana support kiswahili Sema ni wabongo hao magumashi kibao tu
 
Shukurani ndugu. Wabongo ndiyo kawaida yetu kuzingua. Wanatoa hela nzuri na kwa wakati?
Unanishauri nijiunge na mtandao wa matangazo upi?Content za kiingereza zipo nyingi tu hadi video.
Nina mpango wa kufungua blog 2 na youtube account
 
sijajiunga nazo ila kama una content za kiingereza kwanini usitumie google adsense
 
Seebait hawana shida, unahitaji traffic kubwa tu wanalipa fresh ila kipindi ambacho hakuna advertiser wataonesha tangazo lao bure. Pia kwa blogger mpya inakubid kuonesha tangazo lao bure kwa siku 30 au kwa viewers laki 1(chochote kitakacho tangulia)
 
Shukurani ndugu. Wabongo ndiyo kawaida yetu kuzingua. Wanatoa hela nzuri na kwa wakati?
Unanishauri nijiunge na mtandao wa matangazo upi?Content za kiingereza zipo nyingi tu hadi video.
Nina mpango wa kufungua blog 2 na youtube account
seebait wanalipa mpunga bila shida easy kujiunga ikifika 50$ unatoa mpunga wako... Shida hawana matangazo mengi ...mwezi mzima unaweza kupita bila ads.... Ila ukiwa na traffic kubwa siku yenye ads unaweza kupiga zaidi ya 50$
 
Seebait hawana shida, unahitaji traffic kubwa tu wanalipa fresh ila kipindi ambacho hakuna advertiser wataonesha tangazo lao bure. Pia kwa blogger mpya inakubid kuonesha tangazo lao bure kwa siku 30 au kwa viewers laki 1(chochote kitakacho tangulia)
hapo nimekupata sema hawana wadhamini wakutosha
 
View attachment 683925 seebait wanalipa mpunga bila shida easy kujiunga ikifika 50$ unatoa mpunga wako... Shida hawana matangazo mengi ...mwezi mzima unaweza kupita bila ads.... Ila ukiwa na traffic kubwa siku yenye ads unaweza kupiga zaidi ya 50$
Nimekuelewa mr. Kati ya western union na crdb ipi ni nzuri ya kupokelea mpunga?
Vipi kuhusu masharti yao?
 
Nashukuru sana boss,hapo umemaliza ngoja nijaribu nikikwama ntaomba msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…