Sam Jr official
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 119
- 107
jamaa hana kitu kafukuzwa kazi.. msaidieni bure na Mungu atawabariki.. Amiiiiiiiiiiiiiiiiin 😵😵😱😱Toa pesa upate pesa.
Andika good quality content, share facebook na mitandao mbali mbali ya kijamii. Pia unatakiwa una promote au una boost post kwa targeted contry ambayo wanalipa kiwango kikubwa katika CPM. Itakusaidi.
Pia tafuta magroup yenye watu wengi, ongea na admin (mpe hela) hakufanye moderator uwe unashare post kwenye group lake au hata awe ana share post zako kwa makubaliano (Kulipia kwa muda flani).
Note: Ili upate pesa lazima utoe pesa.
Ni kweli sema wengi ma group admin wenye magroup yenye watu wengi, wengi wanataka walipwe coz wametumia nguvu nyingi na time plus pesa kutengeneza big community hivyo wanataka waone matunda yake. Nimesema kwa uzoefu wangu tu coz nishawahi kuwa face about promo wakasema promo inalipiwa. Ninge kuwa na empire kubwa ninge mualika.jamaa hana kitu kafukuzwa kazi.. msaidieni bure na Mungu atawabariki.. Amiiiiiiiiiiiiiiiiin 😵😵😱😱
ok ngoja wenye empire kubwa wakuje..😉😉Ni kweli sema wengi ma group admin wenye magroup yenye watu wengi, wengi wanataka walipwe coz wametumia nguvu nyingi na time plus pesa kutengeneza big community hivyo wanataka waone matunda yake. Nimesema kwa uzoefu wangu tu coz nishawahi kuwa face about promo wakasema promo inalipiwa. Ninge kuwa na empire kubwa ninge mualika.
We una kwaniok ngoja wenye empire kubwa wakuje..😉😉
hahaha... dollar tamu... 😱😱View attachment 663852
Tatizo bloggers wengi wwa kibongo wana "work hard" na sio ku "work smart", Hata upate watembeleaji laki wa bongo unaweza kuambulia dola 20 tu kwa sababu katika hao watembeleaji laki wataoclick tangazo watakua wachache sana maana matangazo mengi ni ya kiingereza ambacho wabongo hatukitumii na hapo ukipata clicks chache za tangazo la adsense r.p.m inakuwa hovyo sana licha ya cpc ya bongo ni bei ya mabua!!!.
Hangaika na Traffic ya South Africa, Jiunge facebook pages za south AFrica kama hizi, Tengeneza account tano za fb then kwa kila account share kwenye magroup saba hivi maana ukizidisha unafungiwa account na fb....Kama unavyoona pichani watembeleaji haa hawafiki elfu mbili ila mpunga uliopatikana ni takribani 220,000/ tshs tena hio ni siku moja tuNon Runner and Accident Damage vehicles for Sale. SOUTH AFRICA
CHEAP CARS FOR SALE IN SOUTH AFRICA
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Cape Town Buy, Sell & Swop
Why do women cheat?
Se connecter à Facebook | Facebook
UZALO FANS
cars for sale South Africa
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Buy, Sell & Swap Cars & Car Parts in South Africa
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Kaizer Chiefs updates,AMAKHOSI4LYF ✌✌
**<b><fg=ffff1234>HLEKA UZE ULALE NGECALA**
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
PITORI MAHLANYENG JOKES (RELOADED)
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Vaal University of Technology 2 2
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
New Xhosa Jokes/sihleka okokoko.
Durban Factory Shops
Job Opportunities in South Africa
Se connecter à Facebook | Facebook
STOLEN CARS RSA
CARS FOR SALE SA
Amahlaya esiZulu sihleka kuphela(SA)
UKHOZI FM- SIYALUTHANDA
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
COMEDY QHA
Chiefs Fans VS Pirates Fans ZONE
PREMIER SOCCER LEAGUE (EPL) (UCL) (CAF)
Se connecter à Facebook | Facebook
adsense waiskie tu...zile nguo tunazonunua kwa mbwembwe tarehe 22 huwa zinachakaa kwenye kiti tunachokalia masaa 18 tunavyoshare postihahaha... dollar tamu... 😱😱
hahahahaha.......adsense waiskie tu...zile nguo tunazonunua kwa mbwembwe tarehe 22 huwa zinachakaa kwenye kiti tunachokalia masaa 18 tunavyoshare posti
hahahahaadsense waiskie tu...zile nguo tunazonunua kwa mbwembwe tarehe 22 huwa zinachakaa kwenye kiti tunachokalia masaa 18 tunavyoshare posti
Nilipata hudhuru nikashindwa kutoa taarifa kwa siku 5ulifanya uhuni gani huko kazini mpaka ukafukuzwa kazi???? Nidhamu ni muhimu sana katika kazi... Hata kwenye blogging usipokua makini utafukuzwa(disabled)... Take my words.. ovaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Thank youPole kwa kufukizwa kazi WiAfrika ila nachojua hukufukuzwa mwenyew(mlipunguzwa wengi )kulingana na hali ilivyo kiasi hata mishahara kwa sasa inachelewa sana ....
Jitahid kutafuta habari zenye ushawish mkubwa ,makala zenye kuhamasisha vijana kupitia blog yako fungua page ya insta iwe na vitu unque uitangaze blog yako ..omba shotout kwa acc kubwa za insta na fb itakusaidia sana .. Toa ofa ya matangazo ya bure hakika amin utafanikiwa
*ukichanganya tu kuweka blog yako hapa huu uzi utafutwa fasta
That's reallyToa pesa upate pesa.
Andika good quality content, share facebook na mitandao mbali mbali ya kijamii. Pia unatakiwa una promote au una boost post kwa targeted contry ambayo wanalipa kiwango kikubwa katika CPM. Itakusaidi.
Pia tafuta magroup yenye watu wengi, ongea na admin (mpe hela) hakufanye moderator uwe unashare post kwenye group lake au hata awe ana share post zako kwa makubaliano (Kulipia kwa muda flani).
Note: Ili upate pesa lazima utoe pesa.
Blog yangu huwa napost general tuHiyo blog yao unapost lugha gani? kiswahili au? na content yako imebase kwenye nini entertainment au General? unatumia google adsense au kampuni gani? unapost mwenyewe manually au umeset Autoblogging?
ok ngoja wenye empire kubwa wakuje..😉😉