Bloggers:Swali Kuhusu Domain ya Michuzi Blog!

Bloggers:Swali Kuhusu Domain ya Michuzi Blog!

Hivi mbona Majid amehama na yupo Vizuri tu?
Tena kwa sasa yupo Vizuri zaidi kuliko Mwanzo.
naamini ajapata washahuri wazuri tu, maana angeweza kuanzisha vitu vingi sana kama angekuwa na website yake. mfano angeweza kuanzisha hata Forum kama hii ya jf ikawa ipo kwenye bloyak, lakini kw akunagnagnia blogspot.com hawezi fanya hiyo.
 
Tatizo la domain ni kwamba ukichelewa kulipia malipo ya hosting na nk, unafungiwa pale pale na taratibu za kurejesha domain yako ni kash kash unaweza chukua hata wiki
Sio kweli. Hata hivyo mtoto wa sekondari anaweza ku own domain!
So Michuzi hashindiwi kulipia domain!
 
Sio kweli. Hata hivyo mtoto wa sekondari anaweza ku own domain!
So Michuzi hashindiwi kulipia domain!

kwa blog ya michuzi ilivyo na adds kibao nadhani anaingiza zaidi ya elfu 50 kwa mwezi ambayo anaweza kulipia domain kwa miaka miwili,

nadhani kachagua iwe ivyo kama trademark yake japo haivutii saana. Maana anatumia huduma ya kulipia ya blogger sio km wengine wanaotumia za bure, sidhani kama kukosa hela ni sababu
 
Hongera,hv anaweza kuwa na traffic wangap kwa siku?
 
kwenye blogger hana complete ownership google wakiamua wanaipiga chini tu. Kuchange domain ni safe ila tu afuate good SEO practices

Unamaaisha achange domain ila aendelee kutumia Google blogger au awe na self host site? Kama ni kuchange domain peke yake bado Google wanaendelea kuwa wamiliki wa hiyo blog.
 
Back
Top Bottom