Bw.Daffa
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 419
- 117
Wakuu.
Michuzi Blog ya Issa Michuzi ni Blog maarufu na yenye mafanikio makubwa sana.
Na Blog nzuri ni ile inayotumia Self Hosted Domain yani kwa mfano www.issamichuzi.com lakini kwa blog hii pamoja na umaarufu wote huo bado anatumia domain ya Blogger i.e www.issamichuzi.blogspot.com
Wataalamu wa haya maswala,labda ni kwanini bado Michuzi hanunui Domain yake?