Bloggers, Advertisers na Publishers!

MKuu kai yao nzuri japo mapendekezo uliyomabiwa na wadau kuhusu presenetation ya jigambe hujayafanyia kazi. Naona uko kwenye marketting

Sasa ushauri wangu.
  • Tafuta na fanya planning na njia nzuri sahihi na kufanya marketing
  • kama ulikuwa na plan nzuri toka mwanzo basi utakuwa unawajua prospective customers wako ni kina nani ,wako wapi , na utawapata kwa njia gani za kuwavuta na kukujua . Kwa ushauri wangu kweneye hili jukwaaa lateknlojia customer wako tuliopo ni wacahache sana. Na usibobadilisha style yako utaonekana kero
  • Juzi Juzi bada ya kusoma soma nimeandika a umuhimu wa web onwer kufuatilia takwimu na vitu kama google analytics. Nitakukukosa. Unaokena unaanza kukosea njia . Au unapoteza maretting effort kbuwa kwenye sehemu ambayo kuna wateja wachache. Sababu asilimia kubwa ya promotion zako ziko kwenye jukwaa la teknolojia amabalo viewers wake hata ukitazama sasa ni ni chini ya 200. Je umefikiria katika njia zako kuibunifu kujitangaza kwenye siasa au habari mchanganyiko au MMU. Na hata ukienda huko tafuta njia nzuri usije ukawa put off watu. Kwa mtazamo wangu tanagazo lako linaweza kupata response nzuri zaidi kama lingeonekna kwenye MMU au habari mchanganyiko au Siasa kuliko hapa kwenye teknolojia. Tatizo sio kwamba wapenzi wa jukwaa hili hawafai ila tatizo ni kuwa wengi wako well infomed na mambo haya. So wengi watasoma tu. Katika majukwa mengine eg sheria wakili fulani akiona si tu atasoma bali atajisajili. Probbility ya kupata watuwalijisali kupitia majukwaa mengine ni kubwa kuliko upitia jukwaa la teknojia.
Yaani unachofanya wewe ni kama mtanzania anataka kumuuzia mjapan toyota na huyu mtanzaia anapoteza muda kumuelewesha yule mjapan faida za lile toyota tofauti na Nissan. Unaweza kukukuta kwa maelezo marefu unadanganya na mjapan anaghairi kununua ile Toyota aliyopanga kununua. Unavyomuhubiria mjapan kuhusu toyota elewa ni tofauti na mfaransa au mwarabu...... dats my view

Anyway mkuu kazi yako ni nzuri take my comments as as constructive criticism. Kama utaona nimekuboa potezea tu

Goodluck
 
Back
Top Bottom