Blog

Blog

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wadau kuna shule nimeitengenezea blog but tatizo linalojitokeza ni kuwa kila ninapoifungua katika njia ya kawaida hiafunguki mpaka niisearch kwa google ndio naipata....je tatizo ni nini hapo? Naomba kujuzwa wadau
 
andika jina uangaliziwe
-kuna site hadi uanze na www usipoanza nayo haifunguk
-inawezekana umekosea spelling hujachunguza vizuri
 
andika jina uangaliziwe
-kuna site hadi uanze na www usipoanza nayo haifunguk
-inawezekana umekosea spelling hujachunguza vizuri

Me tatzo langu kuna blog nliifungua nkiisearch google siipati mpaka niandke jina kamili la site, nfanye nn ili niweze kuipata ktk search engine ya google
 
Me tatzo langu kuna blog nliifungua nkiisearch google siipati mpaka niandke jina kamili la site, nfanye nn ili niweze kuipata ktk search engine ya google

unaenda kuiadd ni vizuri pia ujiunge na google webmaster tool utaona kila kitu kuhusu site yako na matatizo bot ya google inayoyapata pindi ikivisit site yako. pia utajua keyword gan inakuletea watu wengi na mengine mengi
 
mimi kuna blog nilifungua ila nashindwa kuposti habari na picha

naomba mtaalamu anisaidie
 
rubehosecschool.blogsport.com mkuu, mkuu spelling zipo sawa kabisa na pia nikianza na www pia ni chenga tu
 
Nataka kufungua blogspot yangu ili sijui nianzeje..naombni msaada wadau.
 
Back
Top Bottom