MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
ulisoma mathematics? approximation 1.7 ni 2 hio mkuu....kati ya blog 10 basi 7 upupu mtupu.....zimejaa picha za beyonce na RiRiLakini msi generalize wanawake wote. There are some women who are smart & intelligent who are more than capable of discussing intellectual topics. Tuseme tu hao madada wenye hizo blog they try to talk about what they are good at or at least think they are good at.
mnaona? huyu kesho atataka kushindana na mwanaume eti.....nyie ni watu wa jikoni tu.....yaani eti hapa kaona tunabishana bwahahahahaKuna baadhi ya men humu JF wabishi kweli na wanagubu sijapata kuona. Naona hapa tutabishana hadi basi. Huo muda mie sina.
Nyani mie siwezi maubishi ndugu, na siwezi rudi skul kwa kujifunza kuargue na JF men.Huna factual data za ku support arguments zako. Unabisha kutokana na imagination uliyo nayo kichwani. Rudi shule ujifunze jinsi ya ku argue...
mnaona? huyu kesho atataka kushindana na mwanaume eti.....nyie ni watu wa jikoni tu.....yaani eti hapa kaona tunabishana bwahahahaha
dio maana utawasikia ..haki sawa.....viti maalum,gender sijui nini......yaani feminisim......women ARE WOMEN!and they will always look ALIKE!wanawake maisha yao ni kama some people VERY FRUSTRATED!
Nyani mie siwezi maubishi ndugu, na siwezi rudi skul kwa kujifunza kuargue na JF men.
Kwani ubongo wa mwanaume na mwanamke tofauti?mnaona? huyu kesho atataka kushindana na mwanaume eti.....nyie ni watu wa jikoni tu.....yaani eti hapa kaona tunabishana bwahahahaha
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......mtu unasema owner wa zeutamu ni mwanamme...okay...toa ushahidi basi
wewe kwa ufahamu wako unajuaje? hivi jamani ubongo na IQ ni vitu viwili vinafanana?Kwani ubongo wa mwanaume na mwanamke tofauti?
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........
Hhahahahah!!! Utasema yote.kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........
Sina time ya kutafuta facts za blog za watu kama ni wanawake au ni wanaume. Nyie wenye muda huo ndio mtupe ukweli.unaona..wewe umefanya inavyotakiwa. umetoa kidhibiti cha kile ulichokuwa unakisema.
sio unatoa mi accusation tu kama umelewa....
bado unabisha kuwa mmiliki wa mawowowo si demu?
hapo tunajaza bandwidth bure...naona bado vitunguu vimemuingia machoni .....bado unabisha kuwa mmiliki wa mawowowo si demu?