Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,807
point yangu ni kwamba kama Facebook ni a ni ya kipuuzi kwanini na sisi isifungiwe kama ilivyo china maana haina tija kama wadau wengi walivyo changia hii post kwa jazba kama una cha kuchangia kakaa kimya jamani eheee
Tatizo ni swala la kulike tu?
FB ni useful sana tz labda kwako unaweza usijiunge tu. Imenikutanisha Na marafiki niliopotezana nao kitambo, imejenga magroup ambayo yanakuanana kuleta Maendeleo kwa mmoja moja Na taifa kwa ujumla. Kila kitu kina negative Na positive side sasa Kazi ni kwako kuchagua.
Like yaweza kuwa no moja ya pole.