jamani wadau naona wabantu sisi hii mitandao ya kijamii hususani facebook tunaitumia isivyo kwa mfano mtu kafiwa badala ya kumpa pole mtu ana LIKE inakuja kweli? dah!
point yangu ni kwamba kamaFacebook ni a ni ya kipuuzi kwanini na sisi isifungiwe kama ilivyo china maana haina tija kama wadau wengi walivyo changia hii post kwa jazba kama una cha kuchangia kakaa kimya jamani eheee
ahaa nivea kwani lazma uchangie kama una cha kuongea kaa kimya natumia haki yngu ya kikatiba unataka kumonyesha nani kwamba ww ni mtu wa BIG Ideal??????:spy:
jamani mi nadhani kile kitufe pale cha LIKE maana yake sio moja tu kwamba umefurahishwa na hicho ulichoki-like,
mbona hapa JF huwa kuna post ambazo huwa hazifurahishi insuch lakini watu huwa wana-like tena kwa wingi tu?, maana yake ni kwamba wanakua kama vile wana-ACKNOWLEDGE kwa ile taarifa.
unless otherwise watu waombe uongozi wa FB (ambao sidhani kama ni SIKIVU kama huu wa JF) kwamba waongeze buttons nyingine kama za UNLIKE, THUMBS-UP, THUMBS-DOWN, SAD, etc etc
Kwani matumizi ya facebook ni hayo tu ya kulike? Hadi kussugest ifngwe. Kuwa na tija au kutokua na tija kwa facebook inategemea na matumizi ya mtu personally na uelewa wa nini anafanya facebook.
point yangu ni kwamba kamaFacebook ni a ni ya kipuuzi kwanini na sisi isifungiwe kama ilivyo china maana haina tija kama wadau wengi walivyo changia hii post kwa jazba kama una cha kuchangia kakaa kimya jamani eheee
point yangu ni kwamba kamaFacebook ni a ni ya kipuuzi kwanini na sisi isifungiwe kama ilivyo china maana haina tija kama wadau wengi walivyo changia hii post kwa jazba kama una cha kuchangia kakaa kimya jamani eheee
unataka ifungiwe kisa watu wanalike misiba? unadhani fb kazi yake ni ku like tu? kama hujui watu wanatengeneza hela kupitia facebook. yani kisa watu wachache unaowajua wewe wanaitumia vibaya haimaanishi wote tunaitumia hivyo....
Heloo Vipi mbona unakuwa si mkweli na nafsi yako, kifo ni sawa na kuzaliwa, tatizo ni jinsi kifo kinavyokupata, natural death inashida gani? na alipoweka "like" pengine anashukuru kwa taalifa ambayo ni muhimu au akiweka "Unlike" si hatakuwa anamaanisha hataki hata hiyo taarifa tu? fikiria kidogo upande mwingine
jamani wadau naona wabantu sisi hii mitandao ya kijamii hususani facebook tunaitumia isivyo kwa mfano mtu kafiwa badala ya kumpa pole mtu ana LIKE inakuja kweli? dah!
huna hoja wewe. Idiot. Ingekuwa mfano National Security inakuwa threatened hapo kweli. Sasa hao wanao like ( Nilotes and Cushites) ukiwaleta huku huna unachorekebisha. Ukiwaambia huko fb labda watagundua makosa yao. Labda hawajui maana ya ku like.
na ukiona mtu mpaka analeta kesi za fb humu ndani ujue kashalikoroga huko...afu ni kwa nini hizi kesi(thread) zinazohusu fb zisiwe zinapostiwa hukohuko fb maana si ndo kuna wahusika wenyewe?? afu kwanza kwani ni lazima mtu kuwa fb?? kama unaona inakuzingua we si uipige chini tu mkuu..achana nayo!! kumbuka ule ni mtandao wa kijamii na jamii zinatofautiana katika kuishi kwake...unaloliona wewe ni sawa si kweli kuwa kila mtu anaona hivyo..na si kila baya kwako basi ni baya kwa wote..!!! mi huwa nakereka sana na hizi kesi za fb humu ndani..ni bora mtu upost kitu unaomba msaada usaidiwe kuhusu chochote cha fb na sio kuja kutoa malalamiko yako humu jf!!kma kuna kitu kinakushinda cha fb uliza..na ndo maana GP pale juu kakujibu vizuri sana kuhusu maana ya hayo malalamiko yako kwanza..sasa si ungeuliza tu maana ya like... humu ndani kuna Thread nyingi sana za kutia huzuni huwa zinaanzishwa na watu wana gonga LIKE..si kama wanapenda bali ni just to show ACKNOWLEDGEMENT au kuonyesha kwamba wameguswa kwa namna moja ama nyingine..sasa wewe unaanza kutafsiri kivyko na kuaanza kulalama humu oooh fb ifungwe fb ifungwe..umeskia kuna mamoderator wa fb humu?? alaaah...😡
point yangu ni kwamba kamaFacebook ni a ni ya kipuuzi kwanini na sisi isifungiwe kama ilivyo china maana haina tija kama wadau wengi walivyo changia hii post kwa jazba kama una cha kuchangia kakaa kimya jamani eheee
Mtaifunga kwani nchini kwenu kuna server inayohost hiyo site?
Halafu usichanganye uwepo wa Site na utumiaji wa Site...
Wakati nyie mnapost habari za misiba, wenzenu wanatengeneza profolio's na groups pages zao kwa ajili ya ishu za biashara
Mitandao yote ina hasara na faida zake,we kama unazungumzia LIKE tu hata hapa JF zipo pia,ila hata kama mtu ameLIKE taarifa mbaya kuna haja gani ya wewe kuchukia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.