Blessed Hill Primary & Nursery school inatoa huduma mbovu

Blessed Hill Primary & Nursery school inatoa huduma mbovu

pacoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
650
Reaction score
415
Jamani hizi shule za English medium zinajisahau sana kwa kulewa sifa. Mfano St. Lawrence imepoteza sifa mpaka inakufa sasa.

Blessed Hill sasa nayo inaelekea kufa kwa sababu dawati moja wanakaa wanafunzi 4, darasa lina watoto 70-80, sasa hapo mwalimu ataweza kumpitia mwanafunzi mmoja mmoja?

Kuna mtoto wa jirani yangu analalamika kila siku, hata kuandika mateso! Hakuna tofauti na shule za Kayumba.. Wazazi wengi wanaanza kutoa watoto wao.

Ushauri: Wasitamani hela sana kuliko ubora wa shule.
 
Back
Top Bottom