Ni kweli sio jambo la kujivunia sana kwa hilo la wachache kuwa juu ila majority ya watu weusi tupo katika giza kimaendeleo na mengi tu...kama bongo tungekuwa timamu walahi tungekuwa juu sana tunashindwa kuzitumia rasilimali zilizopo kujiendeleza tunasubiria ngozi nyeupe ije kutuletea maendeleo.(Madini yetu ya dhahabu, Tanzanite..etc)