Blacks wako juu

Hussein Njovu

Senior Member
Sep 25, 2006
186
74
The most powerful politician in the world is Black.

The head of the Republican National Committee is Black.

The best known media mogul on earth is Black.

The greatest golfer in the world is Black.

The top female tennis players in the world are Black.

The highest grossing actor worldwide is Black.

The fastest racing driver in the world is Black.

The brightest Astrophysicist under the sun is Black.

The Superbowl-winning Head Coach is Black.

The most successful brain surgeon in the world is Black.

The fastest human on the planet is Black .


.... Michael Jackson must be kicking himself.
 
the man with the biggest dick with the name Mandingo coms frm south Africa
HAHAHA R U SURE OF THAT?? Mana hakuna real proof juu ya hilo ktkana hiyo sehmu kuwa so private..kama ingekuwa inakuwa exposed hapo tungeweza kukubaliana na hilo...sariboko
 
Mkuu mbona hujasema kuwa:
Viongozi wengi vilaza ni Black
Mafisadi wengi wanaoibia nchi zao ni black
Watu wajinga sana kwa kutojua umuhimu wa maisha ya ni black (tena kutoka Tanzania)!!!
 
Ni kweli sio jambo la kujivunia sana kwa hilo la wachache kuwa juu ila majority ya watu weusi tupo katika giza kimaendeleo na mengi tu...kama bongo tungekuwa timamu walahi tungekuwa juu sana tunashindwa kuzitumia rasilimali zilizopo kujiendeleza tunasubiria ngozi nyeupe ije kutuletea maendeleo.(Madini yetu ya dhahabu, Tanzanite..etc)
 
Back
Top Bottom