Wana JF habari za wikienda. kwa wale wataalam wa simu za mkononi naomba msaada wenu. mwenzenu nimekuwa nikitumia simu aina ya nokia E5 kwaajili ya matumizi ya internet hasa ninapokuwa mahali tofauti na nyumbani au ofisini. Sasa hiyo simu nimempa mdogo wangu kama zawadi. Sasa Katika kupitapita mitaa ya kariakoo nikakutana na simu inafanana kama ile niliyokuwa natumia, lakini yenyewe inaitwa blackberry Q3 ya kichina. Inaonesha facilities zote ninazotaka zimo, pamoja na internet. Tangu niinunue sasa nina zaidi ya wiki sijaweza ku connect internet. Ila yahoo mesenger inaunga kama kawaida. Dukani waliniambia kuwa nikiwapigia customer center wa mtandao ninaotumia watanifanyia installation na nitapata net kama kawaida. Nikafanya auto configuration mwenyewe ikanigomea. Nikawaendea watu wa airtel wanisaidie kufanya manual configuration, ndio kwanzaaa wakanikatisha tamaa, wakaniambia bro hizo chinise type huwa hatuna msaada nazo. Kwahiyo wakuu kama kuna mtu ana utaalam nazo naomba taulo (msaada) maana inanikosesha raha niwapo tofauti na nyumbani au ofisini. Maana nishainunua na bajeti yenyewe ya simu kwa siku za karibuni imeshabana. Majibu yangu nitayafuata baadaye hapa JF maana hapa nilipo ngereja kishachukua umeme wake, natumia simu ya mshikaji tu na mwenyewe kishaniambia muda alionipa umeisha
Q3 ni Audi mkuu, hivi Watanzania mtaacha lini kununua hizo simu za Kichina? Ni bora utumie pesa nyingi kununua kitu Quality kuliko fake. Tatizo kubwa la watanzania mmezoa vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi. Pole mkuu umeingizwa mjini

Q3 ni Audi mkuu, hivi Watanzania mtaacha lini kununua hizo simu za Kichina? Ni bora utumie pesa nyingi kununua kitu Quality kuliko fake. Tatizo kubwa la watanzania mmezoa vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi. Pole mkuu umeingizwa mjini

Hakuna simu ya Blackberry Q3 so sina uhakika umenunua nini.

Ila kama umeipata sehemu ya kuingiza settings na ukafanikiwa kuziingiza umesema Yahoo inafanya kazi, maana yake simu inapata mtandao. Unaposema internet haifanyi kazi unamaanisha nini? unapata error? error ipi?

Mkuu hakuna blackberry ya kichina..OS ya chinese mobiles ni moja...ni bora uiuze ununue simu nyingine tu

mkuu ndio maana naamini kuwa kuna namna ya kuweza kuifanya hii simu iweze ku connect websites au blogs nyingine, kwani huku kwenye yahoo mesenger wameifanyia confuration kiasi kwamba ina load mesenger kwajili ya ku chat tu, na sio the yahoo website, ukijaribu ku connect any website, let say jamiiforums, inakwambia connection failed, ukibadirisha hizo settings zao zinazoifanya mesenger i load (let say ukatoa APN settings zilizopo ukaweka za airtel au tigo), ndio kabisa hupati kitu hata hiyo mesenger

Andika hivi kwenye webbrowser ya simu yako

173.194.32.49

kama ikifunguka Google utakuwa haujaweka setting za DNS.

Pia jaribu kuinstall Opera Mini web browser

Opera Mini & Opera Mobilejaribu version za Mini 3 Basic then 4.3 then 6.1

ngoja ni test mkuu
mkuu sidhani kama hata hiyo Opera Mini ya java itakubali kuInstal kwenye simu ya mchina, maana hata OS yake ni ya kuficha ficha developers hawatengenezi software zake', au haijulikani kabisa,,,,,,,mchina hasara tupu, hata browser yake inavyofunguka ni bora kutumia nokia tochi original kuliko kukumbuna na matatizo ya mchina',,,,,:gossip:Andika hivi kwenye webbrowser ya simu yako
173.194.32.49
kama ikifunguka Google utakuwa haujaweka setting za DNS.
Pia jaribu kuinstall Opera Mini web browser
Opera Mini & Opera Mobilehttp://www.opera.com/mobile/download/versions/jaribu version za Mini 3 Basic then 4.3 then 6.1
hata ungekuwa na Internet Conn' ukaDownload Opera itakuwa kama inCompatible file lililobaki na option ya kudelete tu, kwenye mchina ukisema unaDownload ni media files pekeyake kama Videos', Pictures and Audio..pole sana mkuu'..........:frown::frown:

mkuu option ya kwanza imeshindikana. Still i'm getting connection failed messege. Hii ya pili ya ku

install opera ndio kasheshe, nitawezaje ku download wakati haina internet?

hata ungekuwa na Internet Conn' ukaDownload Opera itakuwa kama inCompatible file lililobaki na option ya kudelete tu, kwenye mchina ukisema unaDownload ni media files pekeyake kama Videos', Pictures and Audio..pole sana mkuu'..........