Personally nshatumia BB tatu za verizon na zote BIS ilikuwa inawork msimkatishe jamaa moyo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu storm zote ulizotumia hizo zilikuwa zinatumia technology moja tu ya GSM na ndio maana zilikubali kufanya kazi kwenye upande wa BIS hapa bongo.... tofuati na hizo model nilizokutajia hapo juu.9560 mbili na 9500 moja
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nadhani huyu bwana ametumia simu za wizi labda, kivipi simu iliyo unlocked na inayosupport technologia inayotumika TZ (GSM) ishindwe kupata data? Hili haliwezekani kabisa.
Mkuu storm zote ulizotumia hizo zilikuwa zinatumia technology moja tu ya GSM na ndio maana zilikubali kufanya kazi kwenye upande wa BIS hapa bongo.... tofuati na hizo model nilizokutajia hapo juu.
Haya Ndugu, ebu msaidie mfianchi awezekutumia simu yake kwenye internet kama ulivyo fanya wewe.... Maana hapa naona tunaonyeshana ujuaji badala ya kumsaidia mwenye tatizo.Usicrame maisha ndugu, 9650 ni cdma na gsm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Badili mtandao weka airtel, kwakuwa utakuwa unatumia os5 au ya chini. Itatokea wap browser ya airtel
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Uncle Rukus,me mwenyewe natumia hiyo blackberry storm 9530,ni verizon wireless..haikubali BIS,na haitakubali coz nimezunguka kote Tigo,airtel,vodacom wameshindwa...na nimebadilisha touch screen lkn bado inasumbua...in short hii cmu haifai
Badili mtandao weka airtel, kwakuwa utakuwa unatumia os5 au ya chini. Itatokea wap browser ya airtel
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mnh mi mgeni humu kwenye sector ya bb am totaly clueless hebu nisaidieni kuchange line au mtandao kuna uhusiano vipi na ku upgrade au kudowngrade os ya simu?
Mnh mi mgeni humu kwenye sector ya bb am totaly clueless hebu nisaidieni kuchange line au mtandao kuna uhusiano vipi na ku upgrade au kudowngrade os ya simu?
Ni kweli kaka hapo penye Red na tayari nimegawa bure kulle kijijini ambako imekuwa ikifanya kazi ya kupokea na kupiga simu tu na si intaneti tena,Mkuu, kwanza nikupe pole, Huwezi kutumia BB yako kupata service ya BB data plan, kwani hiyo inatumia mfumo wa CDMA japo kua pia inafanya kazi kwa mitandao ya GSM.... Bila shaka Storm yako itakuwa imetoka Kampuni ya Verizon..... Na kushauri kama unaweza kuuza hiyo simu fanya hivyo haraka kabla aijaanza kusumbua touch screen yake.
Labda kama utapenda kuendelea kuwa nayo unaweza kuichakachua na kuitumia kwenye internet ila BBM haitafanya kazi.
Ni kweli kaka hapo penye Red na tayari nimegawa bure kulle kijijini ambako imekuwa ikifanya kazi ya kupokea na kupiga simu tu na si intaneti tena,