Blackberry Storm 9500 haingizi charge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry Storm 9500 haingizi charge

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KyelaBoy, Jan 17, 2010.

 1. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani Blackberry Storm 9500 yangu kila nikicharge haingizi charge yoyote inabaki kuwaka kwenye LED red tu,mwanzoni nilifikiri huenda betri imeisha ikabidi ninunue mpya na kuweka nikajaribu kuicharge matokeo ni kuona kitaa chekundu kikiwaka lakini hakuna charge,kwa hiyo imezimika kabisa,pia naomba kama kuna mtaalamu wa ku-unlock kwani huko juu ilikuwa imesajiliwa na Vodafone na hapa bongo nikitaka kutumia internate BIS ni Vodacom pekee ambako inafanya kazi lakini mimi ningependa niitumie internate kwa kutumia Zain,kwa hali ilivyo nashindwa kujiunganisha na Zaina kwenye BIS ,lakini kwa huduma ya kupiga simu ah kote mambo ni mswano(safi)
  Tafadhali kwa anayeweza aniandikia na gharama kwa mfano kucheck kabla ya matengenezo,na gharama ya ku- unlock.
  Asanteni ningependa gharama ziwe kwa Tsh sababu nipo bongo bana
   
 2. P

  PanguPakavu Amy Senior Member

  #2
  Jan 17, 2010
  Joined: Jul 7, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  i hope you are comfortable using a computer..,if not this will be trickier than normal!

  u need to download a Blackberry OS from Crackberry .com,save it in your computer.(the installation file i mean)

  then install the OS,as instructed.after this job is finished(ur blackberry must be disconected from the computer all the Time).then go to your computer OS installation drive,look for program files,then common files,then research in Motion,then APPLOADER.

  here find a file named vendor.xml(a file that voda is using to manipulate ur internet usage).DELETE IT!!

  after that connect your blackberry,install the new os since you will have a prompt to update a new os,try a new OS 5.0.xxx as its newer,faster,though with some bugs!

  KAMA COMPUTER KWAKO NI MGOGORO mtafute unaemuamini,umuoneshe hii post!
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Asante ndugu nitafanya kama ulivyonielekeza ubarikiwe
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,555
  Trophy Points: 280
  Asante mzee, ngoja na mimi nijaribu, nilishaamini hivi vistorm 9500 ni vimeo maana vimetengenezwa kwa ajili ya vodaphone tuu. Kilipozima nilirudia limche langu la sabuni la Nokia E90. Nikifanikiwa nitashukuru
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  @kyelaboy
  naweza kukusaidia pm
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  upo sahihi mkuu ila lazima awe na bbdesktop manager or run apploaeder for shortcurt ila kama unauzoefu na unachofanya usijaribu
   
 7. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu, simu yako umenunua wapi? Nina wasiwasi isije ikawa Chinese counterfeit phone, ukiangalia kwenye website ya brackberry sioni specification ya 9500, ebu tembelea hapa chni?
  http://na.blackberry.com/eng/devices/blackberrystorm/
  au hapa pia
  http://worldwide.blackberry.com/landing.jsp?regionId=862
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 9. nzehe

  nzehe Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Baada ya kuweka kwenye charge itawaka led light iache kwa muda mrefu itaanza kuchaji,niliwahi kupata tatizo hilo lakini nikagundua chaji ya betri ikiwa less thn 5 % basi ni issue!
  Betri ya blackberry storm haikai muda mrefu kama unatumia application nyingi kwenye simu,mie huchaji takriban masaa kumi!
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,555
  Trophy Points: 280
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tayari zipo mkuu wote wametoa cm zao
   
 12. j

  jeeva Member

  #12
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...