Naomba Kufahamu Jinsi Ya Ku-Unlock Blackberry Storm 9530. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kufahamu Jinsi Ya Ku-Unlock Blackberry Storm 9530.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gbollin, Aug 20, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wakuu, Nimenunua Blackberry Storm 9530 ambayo imetolewa na Verizon, Tatizo ni kwamba inatumia line ya Vodacom pekee na nikiweka line ya Tigo au Airtel hairespond. Je tatizo ni nini hapa? Naomba kufahamishwa na kama haijawa unlock naomba njia za kuweza ku-unlock au kama naweza pata unlock code kwa mwenye nazo. IMEI ni 352109.03.348069 .3
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama ungekuwa haujanunua ningekushauri usinunue lakini kwa vile umeshanunua haina jinsi kifupi ni kwamba kwa hizi simu kuondoa lock ya kampuni ya Verizon yaani kwa asilimia nadhani ni 95 kwa hiyo 5 ndio unaweza ukaondoa lock iliyobaki ni impossible ,hii inatokana na hawa Verzon kufunga chip kwa hizi simu,so ukitaka kuunlock lazima uiondoe hiyo chip kwanza ndio uifanyie unlock hii ni kwa hata simu za Iphone lakini kwa iphone kuna software zake za kujailbreak na kuunlock ambazo nazo ni tofauty kidogo na za kawaida,kwa kifupi ni ngumu.
   
Loading...