Blackberry Pin Exchange

Siamini kama haya yanatokea bado. Zama zile nikajua ni ushamba utaisha. Kumbe blackberry bado sana. Duh
 
Mie sina Tatizo na mtu,nachukua tu hizo pin,maana atakaenisaidia+kunizika wala simjui

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwani pin ni nini.......? Ni tofauti na PM.......?
 
Asprin, hujaona facebook mtoto anaweka my whatsup number os 980 567897? Sasa hilo si tangazo jamani?
 
Last edited by a moderator:
Kama utaki ipotezee tu Mphamvu sio lazima sana wewe sepa tu kwani umeitwa!
Kwa hiyo huko wapi sijui wakishare PIN na sisi tufanye tu? Kwanini musiwe watu wa kuhoji...
 
Kwani pin ni nini.......? Ni tofauti na PM.......?
Ni tofauti na PM Preta!simu za Blackberry zote zina namba inaitwa pin,ukiwa na blackberry pin unaweza chat na mtu yeyote yule popote alipo duniani bila garama yeyote.
 
BBM zamani wakati bana wakati watu wachachee sio sasa full kuzana
 
Ni tofauti na PM Preta!simu za Blackberry zote zina namba inaitwa pin,ukiwa na blackberry pin unaweza chat na mtu yeyote yule popote alipo duniani bila garama yeyote.
Mshiki Preta njoo huku kama una swali la nyongeza LOL
 
Last edited by a moderator:
My mouth is Zipped :|

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…