Blackberry internet

plesana mpita njia nimechafua thread yako.lakini tunawajibika tukiona mtu anawapotosha watu tuelimishane

Na huko kuelimishana kunatunufaisha, kwa hiyo tuendelee kujadili... lakini kwa lugha ya staha inayolenga kueleweshana
 
Tofautisha messengers kama MSN, YAHOO, AOL, ICQ na nyinginezo. Ila blackberry ina mssenger yake inaitwa blackberry messenger. Dr usnitie aibu bwana Nikia haina nokia messenger na wala haina PIN hali kadhalika samsung.
moz-screenshot-3.png
Windows Live Messenger v1.7.1118 on Ovi for Nokia 5800/N97
sijui tunachobishana ni nini bb inamessenger yake na simu zingine zina messenger pia hapa natumia Windows Live Messenger v1.7.1118 on Ovi for Nokia 5800/N97 samsung pia so usifikiri ni bb tu inamessenger acha malumbano na acha kumwambia mtu unatia aibu ss unaniambia nimeshindwa kuelezea kutumia bb as modem nimeshindwa nn
 
Bado naendelea kufuatilia. hata haya yanayojadiliwa yananinufaisha kwa sababu ukiachilia mbali internet kwenye simu, lakini pia kina applications nyingi na vikorokoro vingine ambavyo mi sivijui... hivyo ninyi wajuvi mnapobadiloshana mawazo namna hii na sisi maamuma tunapata uelewa kidogo.
So, msiwe na hofu, endeleeni kudadavua

poa mkuu ucjali hapa jamvini tunafuraishana na kuelimishana
 
Jamani tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kukosoana La sivyo hata uko kwenye siasa mtawashangaa kina JK kumbe hata sisi tunaowakosoa tuko hivyo hivyo.
Zing kiwi kisicho eleweka?.
1.Nimesema mara kibao mimi sio ngwini wa mobile tech
2.Natumia Samsung Smart phone yenye 1ghz procesor inayotumia Android kupitia voda kwa chanel ya BB net yake iko faster kama ulaya yaani uki bonya ni hapo hapo inafungua hivyo una fungua utube na kuona online tv in real time.
3.Nikasema natumia Samsung wave video yake ni HD nilikuwa sijaona HD kwenye simu nyingine mpaka leo nilipo sikia na Nokia wapo.
Kwenye hizo hoja za msingi, je uwongo wangu ni upi?.

Sasa naomba kumalizia hoja ya mwanzilishi.
Unaweza kuitumia BB yako kama modern kwenye laptop au pc yako na iko faster kuliko moderm yoyote.
Kwa kuanzia konect BB yako kwenye on line laptop au pc kwa kutumia blue tooth au usb.
Compur itaseach na kuintal drives kwenye desk top yako.
Ukiopen utaona inteface ya simu yako kwenye laptop yako au pc. Just connect.
Angalizo. Intenet ya BB ni bure, ukiitumia BB yako kama moderm sio bure!
 
Zing kiwi kisicho eleweka?.
1.Nimesema mara kibao mimi sio ngwini wa mobile tech
2.Natumia Samsung Smart phone yenye 1ghz procesor inayotumia Android kupitia voda kwa chanel ya BB net yake iko faster kama ulaya yaani uki bonya ni hapo hapo inafungua hivyo una fungua utube na kuona online tv in real time.
3.Nikasema natumia Samsung wave video yake ni HD nilikuwa sijaona HD kwenye simu nyingine mpaka leo nilipo sikia na Nokia wapo.
Kwenye hizo hoja za msingi, je uwongo wangu ni upi?.............

Kama nimemulewa Zing anasema ulikosea kusema Samsung ndio pekee ina HD na anasema umekosea kusema ulaya kuna 4G mueleweshe. Mpe mifano. Tutaelimika wengi .Lakini kwa kuwa umesema sio ngwini wa tech kuwa muungwana kusema uliteleza kidogo katika maelezo yako
 
@pasco mkuu umejieleza na watu waelewa 2mekuelewa ucjali we potezea ila ucchoke kucema unachokijua kwa kuhofia wapo wanaokijua zaidi yko uwe huru humu upinzani unatokeaga tu sometime bila sababu au m2 1 kutokusoma vzuri akukujb vbaya wengine wakadandia ucjali mkuu
 
Hivi unaelewa mambo unayoyazumgumza aua unadhani ukokwenye siasa hapa

eti samsumsung pekee ndio ina HD .Tafuta kwenye kamusi yako maana ya HD alafu ndio ueleze mambo ya kitaalamu . Zipo simu nyingi tu zina HD. kama ulinunua samusung kwa matangazo kuwa wao ndio wana HD pekee basi wewe ni uliingizwa choo cha kike

Na hii 1ghz internet speed iko nchi gani vile tena kwenye mobile . mhhhh .You must be joking. Kwa ADSL broadband yenyewe sidhani kama ulaya kuna nchi inayo speed hiyo. In short Umedangaya.

Tafuta , soma na uelewe maana ya 4G. ulienda ulaya nchi gani tutafute kwenye net tuone kama hiyo 4g ina 1gz. na uwe mkweli .

Mimi sijui HG wala 1ghz ila blackberry bold yangu napata shida sana kupata MSN, kwa ufupi ni kwamba imekataa kwa hivyo siwezi kudownload hotmail messages na kuzisoma. Ila ile version ya nyuma ya bb nilikuwa naweza kusoma. Niko kwenye Airtel.

Na hizo HD na utaalamu gani munaozungumzia, jamaa yangu anayo iphone 4G na inakimbia hiyo kwenye you tube na kila kitu. Yeye yuko Ztel

SAMAHANI MIMI NI MBUMBUMBU mtumiaji wa halo halo ijapokuwa ningependa angalau kuweza kudownload hizo messages
 
Binti mkongwe ni HIvi
unaweza kuwa nahata simu ya Nokia samsung 5G kama zipo lakini hakuna Provider anayeta huduma katika 4G kwa sasa. Labda USA sehemu chach e. Telephone Service Provider wengi bado wanatumia 3G tena usishgae kwa Tanzania baadhi ya service tunazopata kutoka kwa makampuni ya simu ni za kiwango cha 2G.

Usifuate au kununua msamiati bila kujua una maanisha nini. Kwa hiyo ukiwa na Iphone 4G na mwenye Nokia 2600 ambayo ni 3G kama provider wenu ni anatoa huduma katika 2G ni kazi bure. hamtafaidi chochote kulinga na uwezo wa simu zenu mtapata huduma za 2G tu.

Yaaani ni sawa kununua marcedes benz kutumia kuktia majani ya ng'ombe
 
Usifuate au kununua msamiati bila kujua una maanisha nini. Kwa hiyo ukiwa na Iphone 4G na mwenye Nokia 2600 ambayo ni 3G kama provider wenu nim mkuu kumbe ww uelewa wako ni mdogo kumbe kumbe ujaelewa maana ya 2g, 3g na 4g pole kwa hilo mkuu
 
Drphone
ebu nifafanulie transfer speed inayotakiwa kuwa provided na 2G network na data transfer speed inayotakiwa kuwa provided na 3G network alafu nitajie na kwa 4G

Au nitajie tofauti unayojua wewe katika hii misamiati

Tena assume maximum transfer speed unayoweza kupata ukiwa nyumbani . Yaani hauko kwenye movement.

Linganisha Speed inayotolewa na Providers wa Tanzania na Standard speed inayotakiwa kuwakilisha hayo majina ya 2G, 3G na 4G
 
Kama unaweza soma kwa makini hii 3G - Wikipedia, the free encyclopedia alafu ulinganishe kitu tunachopata kutoka kwa Porivder wetu

Nafanya summary hapa
Data Rates
provide higher transmission rates: a minimum data rate of 2 Mbit/s for stationary or walking users, and 384 kbit/s in a moving vehicle,
Je ndivyo ilivyo??? fanya rescherch kesho udowload kafile kadogo ukiwa kwenye safari.unakwenda kazini kwako.

3G inatakiwa kutoa huduama gani tofauti na 2G????

Applications

  • Mobile TV – a provider redirects a TV channel directly to the subscriber's phone where it can be watched.
  • Video on demand – a provider sends a movie to the subscriber's phone.
  • Video conferencing – subscribers can see as well as talk to each other.
  • Tele-medicine – a medical provider monitors or provides advice to the potentially isolated subscriber.
  • Location-based services – a provider sends localized weather or traffic conditions to the phone, or the phone allows the subscriber to find nearby businesses or friends.

Hiyo ya mwisho ya Location Based najua ipo wazi Je Hizi nyingine ni provider wote wanazitoa.?????. Inabidi tujifunze haya mambo tuyaelewe ili hawamaprovider wasituuizie misamiati.

Msikilize ha huyu mwalimu makini akitoa somo ndani ya dk saba

Last edited by a moderator:
Achani kuzogoa. blackberry ki2 gani?

Kwa kiswahili zinaitwa furu-saadi nadhani umesha wahi **** furu sasa hizi ni za saad tofauti kidogo na furu.
 
Attachments

  • bb fruits.jpg
    bb fruits.jpg
    31.3 KB · Views: 30
  • blackberry_fruit.jpg
    blackberry_fruit.jpg
    47.2 KB · Views: 39
Bado naendelea kufuatilia. hata haya yanayojadiliwa yananinufaisha kwa sababu ukiachilia mbali internet kwenye simu, lakini pia kina applications nyingi na vikorokoro vingine ambavyo mi sivijui... hivyo ninyi wajuvi mnapobadiloshana mawazo namna hii na sisi maamuma tunapata uelewa kidogo.
So, msiwe na hofu, endeleeni kudadavua

YOU are so kind and polite, yani una hekima kwa kifupi. Mi nimependa. (ingawa sijachangia mada)
 
Binti mkongwe ni HIvi
unaweza kuwa nahata simu ya Nokia samsung 5G kama zipo lakini hakuna Provider anayeta huduma katika 4G kwa sasa. Labda USA sehemu chach e. Telephone Service Provider wengi bado wanatumia 3G tena usishgae kwa Tanzania baadhi ya service tunazopata kutoka kwa makampuni ya simu ni za kiwango cha 2G.

Usifuate au kununua msamiati bila kujua una maanisha nini. Kwa hiyo ukiwa na Iphone 4G na mwenye Nokia 2600 ambayo ni 3G kama provider wenu ni anatoa huduma katika 2G ni kazi bure. hamtafaidi chochote kulinga na uwezo wa simu zenu mtapata huduma za 2G tu.

Yaaani ni sawa kununua marcedes benz kutumia kuktia majani ya ng'ombe

Dah, I enjoyed this thread.

Kama ulivosema, hata ulaya hakuna provider mpaka sa ivi aliyeweza kuprovide the real "4G" internet, ila wanachakachua tu jina kupata market.

one of the quotes I read:
"Those networks have theoretical speeds of a fifth to a half that of the official 4G standard. The actual speeds the carriers say they'll achieve are just a tenth of "real" 4G."

and another quote:
But with no set standard, what does 4G actually mean?
"It's a marketing name for three different technologies," said Tole Hart, senior analyst on mobile services for the Yankee Group.
Each carrier has its own network technology and coverage areas, so it's been reduced (or expanded) to mean faster, fourth-generation mobile internet for speedy downloads and smooth streaming video -- even if the carrier is actually using really, really fast 3G (as AT&T and T-Mobile are doing).

waweza soma habari nzima hapa: Advertising Battle Over 4G Has Begun - Advertising Age - News
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom