BlackBerry curve/Bold

BlackBerry curve/Bold

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
174
Nahitaji moja ya aina ya hiyo simu wadau nipo Dodoma.
Nawasilisha.
 
Je wajua kuwa huduma za BB zimesitishwa na hutapata huduma mbali mbali ikiwemo WhatsApp ?
 
Kuna ukweli gani juu ya ugumu wa kudukua taarifa kutoka kwenye simu za blackberry !?
 
Kuna ukweli gani juu ya ugumu wa kudukua taarifa kutoka kwenye simu za blackberry !?
For years, the BlackBerry was the device of choice for those wanting strong security. They provided a secure network and chip-level hacking protections that others lacked. BlackBerrys have been fully encrypted for at least a decade +
 
Bei sio inshu nina bbry kama nne hivi. Mimi ni pioneer wa bbry toka kitambo. Na niligoma kabisa kutumia hizi za kisasa mpaka mbuyu ulivodondoka. Sema niko mbali kiasi mkuu
Uko wapi isee km tunaweza kufanya lolote.
 
Nina BlackBerry curve mkuu simu iko vizur.....sikuiwasha muda mrefu battery limekufa....Naibwaga kwa 50,000 tu. PM me for more details.
 
Nina BlackBerry curve mkuu simu iko vizur.....sikuiwasha muda mrefu battery limekufa....Naibwaga kwa 50,000 tu. PM me for more details.
Mkuu unaonaje ukanikopesha ...tarehe 30 nakupa mpunga wako ..
 
Mkuu unaonaje ukanikopesha ...tarehe 30 nakupa mpunga wako ..
I need 24hrs if nobody with cash show up by tomorrow the phone is yours you can come and pick it up.....na utalipa hiyo tar 30.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom