Blackberry 8100

Blackberry 8100

Innobwoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
979
Reaction score
535
Wakuu poleni na majukumu,naombeni msaada kuhusu hii simu blackberry 8100,juzi nilimpa fundi abadilishe housing,baada ya matumizi ya masaa kadhaa nikaizima simu kwa mda nilipokuwa mahali flani kama saa1 ivi,nilivyokuja kuiwasha haikuwaka bali inatoa alama ya betri na msitari mwekundu umepita katikati,nimejaribu kutoa betri imeshindikana bado inaniletea ileile,,naomba ushauri kwa hili kwani imenitoa hewani kwa siku 3 mfurulizo!!!
 
ushauri??? Mrudishie fundi na umpige mkwala wa ukweli vinginevyo imekula kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom