Black women are sweet

Black women are sweet

We kama lile demu la katika video ya wakawaka ya ney.. kajidodeka mifuta,utafikiri hajakoga mvuto ni sifuri kabisa..
 
Kama unazo pesa mie wala sijali u-domozege wako.
ila shida kama huna afu domozege.
Utakuwa huna tofauti na marehemu Kaoge
Pesa kwangu haijawai kuwa tatizo,tatizo wewe mchukuaji,unashindwa kuzichota,uko wapi nikufuate,Niko hapa 4 ways
 
Lazima nijali nisipo jali mm kale kachaga c katajal akakusahaulisha kuja kwangu
Basi vizuri....kumjali mpenzi ni raha sana aisee
Naona unatoa darasa
Hivi lile group lako la whatsapp bado lipo.?
Nimeliua January, nilimuachia uadmin mkuu member flani humu, akaenda kuingiza malaya zake wa kiganda na kikenya...group likawa kama danguro.
Ila nilipata nalo faida...nilipata route ya Ghana and Namibia offer toka kwa members wangu, nikaenda kuosha sura huko na kubinua makalio yangu kisha nikarudi zangu kwa Magu, offer za shoping etc.
Bado hapo vizinga....chaaaaaaaaa!!!!!!
Pesa kwangu haijawai kuwa tatizo,tatizo wewe mchukuaji,unashindwa kuzichota,uko wapi nikufuate,Niko hapa 4 ways
Aisee.....mie niko na mazoezi hapo Leaders, na njia yangu ndo hapohapo
Next time nikija nitasimama hapo opposite Governor bar unipe hata maji
Kumbe MNA group la WhatsApp?asee
Yeah...mbona yapo na tunachat fresh tu.
Asee huwa naonaga post humu nikawa nahisi hawa watu wanajuana?kumbe kuna ka group chenu wana JF,safi sana
Asante
 
Back
Top Bottom