Black skin inrelation to iq

Of course kuna watu iq zao ziko below average, hilo hatukatai. Mimi kwangu mtu kama jk nikimpa iq ya 70 ntakuwa nimempendelea sana! Haiwezekani we mtu ndo incharge wa kila means za uchumi unaishia kushawishi na wengine kwamba bila misaada hatuwezi kuendelea!!....? Na madini yalipo kila sfhemu unapokanyaga??? Nahisi hata shule alisoma kwa bahati bahati tu.
 
Mfano mmoja : Wazungu baada ya kuona ni risk kujisaidia choo cha nje especially usiku waliamua watengeneze vyoo vya ndani vya ku-flush. Waafrika vijijini kwetu ukitoka nje usiku hukawii kukutana na fisi n.k lakini hatukutafuta mbadala.

 
Nafikiri, nafikiri.Ngozi nyeusi ilishalaaniwa na Muumba. Ilichojaaliwa ngozi nyeusi ni kupiga na kucheza ngoma tu.
Kwa akili zenyewe kama hizi ....hatufiki popote ! Ushafundishwa kile wakitakacho sasa ni zamu yako kuwa mtumwa wa kiakili !!!
Mi sikufanya kosa ili nilaaniwe , namshukuru muumba kwa hilo
 
Kwani uongo, kuna mdau mwengine ameongezea na NGONO. Umeniuzi = umeniudhi.

kawaida yetu kuumia ukiambiwa ukweli. Siku hizi kwenye vyoo vya ofisi vimewekwa condom ili kuwakumbusha na kuwasaidia wale wanaopigana vya chap chap. Seriously mpaka ofisini watu badala ya kufanya kazi mnawaza kwenda kutombana chooni! Tena mme na mke wa mtu mwingine! Ndo maana ofisi zimegeuka sehemu ya kupigia madili, wizi nk.
 
Sijakuelewa unataka niwaelezee vipi waarabu au hao wengine unaosema tunafanana kimazingira?
Labda unikumbushe,wamegundua nini?
 
Akili ni ileile ila sisi ni wavivu wa kufikiri ndio maana vitu vingi vinatushinda. Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake na kwa vile Mungu wetu ana akili ya ajabu alimpa binadamu hiyo akili. Tatizo ni jinsi gani tunatumia hii akili aliyotupa Mungu!!!

Akili ya kula, kucheza na kulala ni ileile. Lakini akili ya udadisi, upembuzi wa kiasili haupo kwa watu weusi. Ndio maana mtu akisema jambo lolote jipya utasikia maswali kama haya: Imeandikwa wapi? Umesoma wapi? Nani kasema? umeona wapi? Watu weupe wajanja, maana yote ya kwao wanatuweka darasani na kujifunza. Kwa mfano tukianzia tarakimu za kusoma na kuandika zatoka kwao. Sindano ya kushonea nguo imetoka kwao. umeme umetokea kwao. Hata michezo tunawaleta watu weupe waje kutufundisha namna ya kucheza vizuri! Tusijifariji jamani mimi nadhani hii ni laana ya maumbile wala sio uvivu wa kufikiri. Kama ni uvivu wa kufikiri kwa nini tuwe wavivu. Ukigundua tatizo na usilishughulikie kwa kuona kuwa tatizo hilo sii tatizo kwako basi wewe una matatizo ya IQ. Kuna msemo ninaouchukia maishani mwangu. Nao unasema hivi: "Usimwamshe aliyelala, ukimwamsha, utalala wewe." Hadi sasa sijajua aliyesema hivi alikuwa anamaana gani. Lakini kwa ujumla msemo huu unamaana kuwa ukigundua kitu chema usimwonyeshe mwenzako la sivyo mwenzakao anaweza kukuzidi.
 
kukubali ukweli kwamba ngozi nyeusi tuna matatizo itakuwa moja ya hatua nzuri na kubwa ya maendeleo.hebu jiulize ni kwa nini wazungu wa africa kusini wana mtizamo chanya na maendeleo sawa na wazungu wenzao wa ulaya hii ni pamoja na kuishi na wazulu kwa karne nyingi tu!!!je umeshajiuliza ni vipi wahindi wa tanzania hata kama hawana elimu ya juu unakuta wana hali nzuri za kiuchumi,afya,kijamii etc. Kuliko hata wasomi wazawa!!! siyo ajabu kusikia hapa kwetu watu wanamsifia msomi kwa vitu kama kunywa bia,kuchukua mabibi wengi,wizi hasa kwenye taasisi za umma etc.jaribuni kupitia thread moja hapa jamii forum ya p w botha alivyoelezea taswira ya mtu mweusi, utaona kuna ukweli fulani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…