Black people hate everything about slavery except religion

Ni kweli hata Tanzania ukiongea kiswahili hawaelewi ndio maana ikabidi utumie kiingereza
 
Dini ni utumwa? Kama unaona Lugha si utumwa, kipi kinakufanya uone Dini ni utumwa?

Yaani kigezo unatumia kutofautisha vitu hivyo viwili,.
Umesoma uzi vizuri uka elewa?

Unajua ni jinsi gani dini zilisambazwa kwa waafrika kwa nguvu na ulazima?

Au unadhani waafrika walibembelezwa kwa upole wapokee dini?
 
Umesoma uzi vizuri uka elewa?

Unajua ni jinsi gani dini zilisambazwa kwa waafrika kwa nguvu na ulazima?

Au unadhani waafrika walibembelezwa kwa upole wapokee dini?
Tusiandikie mate,..tolea mfano Tanzania hapa ni Dini gani ilienezwa kwa watu kupitia nguvu na kulazimishwa?

Utupe na takwimu ya Mauaji yaliyofanyika kwenye kuenezwa Dini hizo,..

Isije ikawa watu(Waafrika) walifundishwa maudhui ya Dini husika kisha wao kwa maamuzi yao wakaona wanaweza kuishi maishi yao kwa taratibu za Dini hizo,..wewe ukatafsiri wamelazimishwa.
 
Ubarikiwe sana
 
Ukoloni mambolea. Africans hate everything regarding slavely except the english language 😁
Language isn't slavery.

No one forces you to use English language and it's not mandatory to use English language.

But religion was introduced to Africans by force and Africans were indoctrinated to believe them by force.
 
But aint nobody forcing nobody to keep on believing now.
 
Then why do religious people keep preaching about their religions daily?

They even campaign and compete for followers.
HOw does that affect you?why?and can you prove that they are forced? If they compete why does it bother you?
 
HOw does that affect you?
It has affected majority of people.

Religion has produced lazy thinkers who depend on prayers and wait for miracles to solve their problems, instead of taking responsibility to solve their own problems by themselves.
why?and can you prove that they are forced? If they compete why does it bother you?
They produce generation of lazy thinkers.

Most Africans today add nothing in innovations and in science and technology because they have nothing in their heads, Just Jesus and Allah is what they know, and it's what they preach daily!!!!
 
Moja ya Uzi Bomba kabisa!
Na je?! Vipi kama tungetawaliwa na Wahindi au Wachina ? Sasahivi tungekua mabudha?
 
Moja ya Uzi Bomba kabisa!
Na je?! Vipi kama tungetawaliwa na Wahindi au Wachina ? Sasahivi tungekua mabudha?
Yeah.

Kama wange turithisha imani zao za kidini. Leo hii tungekuwa na hizo imani zao.
 
Were Africans not worshipping before arrival of the colonial god?Is colonial god supreme than African gods?Actually this is mind slavery.
 
Most Africans today add nothing in innovations and in science and technology because they have nothing in their heads, Just Jesus and Allah is what they know, and it's what they preach daily!!!!
Wewe ambae huamini kwenye Mungu wala dini umetoa mchango gani kwenye tech&Innovations?

Isije ikawa unasingizia dini,. kumbe ni akili yako tu haitoshi ku innovate kitu chochote.
 
Mtu mweusi anayezungumza Kingereza anamshangaa mtu mweusi aliyekumbatia dini.

MAAJABU HAYAJAWAHI KUISHA.
Kingereza ni lugha ya mawasiliano, na ili jamii kuendelea inahitaji kuwa flexible katika kuwasiliana na jamii moja na nyingine, na wala uraibu wake hauwezi fananishwa na dini
 
Kingereza ni lugha ya mawasiliano, na ili jamii kuendelea inahitaji kuwa flexible katika kuwasiliana na jamii moja na nyingine, na wala uraibu wake hauwezi fananishwa na dini
Inategemea unawasilisha mada kwa nani.
 
If this is true. Why are still a lot of temples, churches and mosques in those countries mentioned which you say brought the slavery you call religion
 
Wewe ambae huamini kwenye Mungu wala dini umetoa mchango gani kwenye tech&Innovations?

Isije ikawa unasingizia dini,. kumbe ni akili yako tu haitoshi ku innovate kitu chochote.
Nimetoa mchango wa kwamba teknolojia na innovations haimuhitaji Mungu.
 
If this is true. Why are still a lot of temples, churches and mosques in those countries mentioned which you say brought the slavery you call religion
That's their traditional beliefs.

But they forced us Africans to dump our own and they indoctrinated theirs.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…