Black people hate everything about slavery except religion

Lugha ni utumwa?
 
Waafrika hawakuwa na dini kabla ya ukoloni bali walikuwa na tamaduni na mila
Babu yangu mpaka leo humwingizi kanisani wala msikitini, we unaesema waafrika hawana dini bali mila kwani waliokuwa wanaabudu kwenye miti ni dini au mila? Kuabudu sio mila ila kutambika ndio mila, kuabudu ni dini haijalishi unamwabudu Mungu kupitia kwa nani, kuna wanaopitia kwa yesu, kwa mohamedi, kwa ng'ombe na vingine vingi
 
Sahihi.
 
I'm Atheist.

I don't have any belief.

I don't believe in believing.

I don't need to believe, I need to know.
You have your belief which is atheist and that is why always you convice people to follow your belief

If you recognize that other religions are imperfect or wrong automatically you have a religion that you see is correct

Acheni ungese, hivi huo mwili wako mpaka unapata kiburi Cha kuandika upuuzi huu umejiumba wewe?

Mtu ambaye hata kesho yako huijui unajifanya una akili nyingi za kukosoa aliyekuumba

Ni mtu mwenye afya ya akili tu ambaye anawaza UPUMBAVU kama wako
 
You have your belief which is atheist and that is why always you convice people to follow your belief
You fool,

Atheism is not a belief.

Atheism is a disbelief.

Atheism is a lack of belief in the existence of God or gods.
If you recognize that other religions are imperfect or wrong automatically you have a religion that you see is correct
All religions are wrong.
Acheni ungese, hivi huo mwili wako mpaka unapata kiburi Cha kuandika upuuzi huu umejiumba wewe?
You irredeemable fool, Don't come to vomit your nonsense here.

Go and educate yourself.
Mtu ambaye hata kesho yako huijui unajifanya una akili nyingi za kukosoa aliyekuumba
Hakuna muumbaji yeyote yule aliyeumba kitu chochote kile.
Ni mtu mwenye afya ya akili tu ambaye anawaza UPUMBAVU kama wako
Don't come to advertise your foolishness here.

Halfwit bastard..!!
 
Only an intelligent person will understand you, but an idiot and foolish person will not understand you.
 
Hii wanaita "irrationality na irrelevant comparison" lugha kama English ni advantageous as ndiyo inamiliki information nyingi muhimu.(hakuna fedheha hapo) Ningekubali hii notion yako kama ungesema "kiarabu" why? Sababu mtu mwenye akili anajua umuhimu wa kuchukua vinavyomfaa na visivyomfaa. Hapo tunakuja kwenye dini, not only ni intellectually damaging, bali ni useless pia.
 
Wabongo wengi kwenye ngeli ni walemavu.

Ndio maana wengi wanalalamika hapa English ni utumwa.
 
Basi hata dini ya kikristo ni dini ya dunia
Kuna dini nyingi sana duniani.

Most Asian countries hawana ukristo. Kwa hiyo huwezi kusema kwamba ukristo ni dini ya dunia wakati kuna nchi kama Iran, Yemen, Afghanistan, Saudi Arabia, Oman n.k hawaujui huo ukristo.

Lakini kiingereza kinazungumzwa kila nchi duniani.

Hata ukienda Iran unaweza kuzungumza kiingereza na sio kesi.

Kama ukristo ni dini ya dunia, sasa wewe nenda Iran au Afghanistan kahubiri habari za ukristo uone moto.
 
Sasa unavyotuambia kiingereza ni lugha ya dunia hujui kuna kichina, kihindi, kisukuma, kifaransa, kiarabu, kijapan na nyingine nyingi
 
Sasa unavyotuambia kiingereza ni lugha ya dunia hujui kuna kichina, kihindi, kisukuma, kifaransa, kiarabu, kijapan na nyingine nyingi
Huwezi kwenda china ukaongea kihindi ukaeleweka kirahisi, Lugha utakayo itumia ueleweke kirahisi ni kiingereza.

Huwezi kwenda Uarabuni, ukaongea kijapani, Lazima utumie kiingereza.

Kiingereza kina eleweka na watu wengi duniani tofauti na lugha nyingine zote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…