Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Ni mtu muhimu kivipi? Watu muhimu hapa nchini wanajulikana na wala huna haja ya kuwamulika kwa tochi ili uwaone. Acheni utamaduni wa kubabaikia wageni.
Noted ad consideredinfact this should be sticky
vijana wapate shule
Specifically mahali panaitwa Maji ya Chai baada ya kupita Usariver mbele tu ukishapita njia ya Ngurdoto kama unakwenda Moshi ndo unakuta Maji ya chai na ni katika kijiji cha Embasenyi ambacho hakipo mbali na barabara upande wa juu chini ya Mlima Meru, ukifika hapo Maji ya Chai alikuwa anajulikana kwa jina maarufu kama Mnegro na alikuwa akisaidia miradi mbalimbali hapo kijijini
Local media ndio hao akina Pasco ambao nao washaingia kwenye orgy ya CHADEMA vs CCM as if thats what we need
Maybe one needs to set up an online newspaper na kuachana na the mainstream media yetu
hii habari mbona local press siioni,AU bado wamelala
Maybe one needs to set up an online newspaper na kuachana na the mainstream media yetu
Geranimo Pratt hakuwahi kuwa Mtanzania.Sikuwahi kumwona ila nilisoma habari zake nyingi sana kwenye miaka hiyo ya sabini. Nimeshangaa kusikia kuwa alishakuwa mtanzania aliyekuwa akiishi kimya kimya Tanzania. Kuna wakati niliwahi kuambiwa kuwa trip mojawapo ya Nakaaya kuja USA ilikuwa imeratibiwa na huyu bwana, ila habari hizo hazikuwa na uthibitisho kwa hiyo sikuzitilia maanani. Naona kama vile huenda zilikuwa na ukweli fulani kama jamaa huyu alikuwa akiishi Arusha.
RIP the African fighter
Geranimo Pratt hakuwahi kuwa Mtanzania.
Naomba nisaidie kidogo vijana wasiojua Black Panther ilikuwa nini. Katika miaka ya 1950/60 katika kilele cha mapambano ya civil rights movement kulikuwa na watu na makundi mengi ya watu weusi (negros/black americans) wenye milengo tofauti lakini wote wakipigania ukombozi wa wamarekani weusi. Walikuwepo akina Martin Luther King, Malcom X, Association for Advancement of Coloured Peoples, n.k. Wengi wa watu/vikundi hivi vilikuwa vinaamini katika mapambano kwa njia ya amani (non-violent). Black Panther lenyewe lilikuwa linaamini kuwa watu weusi ni lazima wachukuwe silaha na kupigania haki zao na walifanya hivyo. Vile vile walikuwa wanadai watu weusi kutengewa majimbo yao (states) katika US ili waweze kujitawala wenyewe. Serikali ya US iliwaona kama maadui wakubwa na ilifanya kila njia kuwakandamiza. Baadhi walipigwa risasi na polisi na kuuwawa, baadhi walisingiziwa kesi na kufungwa (kama huyo Geronimo) na hatimaye wengine walihama US na kuja Afrika au sehemu zingine. Katika miaka ya 1970 walikuwepo wengi hapa Dar wakiishi maeneo ya Kigamboni. Baadhi ya viongozi maarufu wa Black Pathers walikuwa ni Eldridge Cleaver, Stokley Carmichael (huyu alikuwa wakati fulani amemuoa marehemu Miriam Makeba) na Angela Davis (huyu alikuwa mwanamama mrembo aliyekuwa anaweka nywele zake kubwa katika mtindo wa Afro kiasi cha kufanya uso wake uonekane mdogo mno). Warembo wa wakati huo walimuiga sana kwa mtindo huo. Wenye kutaka kujua zaidi kuhusu mapambano ya Black Panthers mnaweza kutafuta kitabu kilichoandikwa na Eldridge Cleaver kinachoitwa "Soul on Ice". I hope I have enlightened a bit.Nimesoma profile take kwenye gazeti moja la LA na kurudia tena pale Wikipedia kuwa alikuwa mtanzania. Huenda walikosea
Huyu Pratt mbona katika kipindi cha uhai wake hatujawahi msikia popote?????? Hata kwenye kitabu cha autobiography ya Angela Davis sijawahi ona jina lake zaidi ya Afeni Shakur.....
Watoto wachanga wa JF wanaweza kuuliza hii inahusika vipi kwenye siasa lakini sisi watu tulioenda umri inakuwa ni jukumu letu kuwafundisha hawa watoto tulionao humu kuwa huyu ni mmoja kati ya wapiganaji wakubwa duniani hi huyu jamaa
JF inatakiwa iwe sehemu ya watu kujua na kuchambua na watu kuelewa siasa si CCM vs CHADEMA tuuu
===================
Full Story:
Elmer "Geronimo" Pratt, a former Black Panther Party leader who spent 27 years in prison on a murder conviction that was later overturned, has died. He was 63. Pratt died at his home in a small village in Tanzania, where he had lived for at least half a decade, lawyer Stuart Hanlon, who helped Pratt win his freedom, told The Associated Press from San Francisco on Thursday.
Hanlon said he learned of Pratt's death through the former activist's family members. He did not know what caused Pratt's death, but said he had suffered from high blood pressure.
- Pratt was a former high ranking member of the Black Panther Party. He was targeted by the FBI program COINTELPRO, which aimed to "neutralize Pratt as an effective BPP functionary."
- In 1970 Pratt was arrested and charged with murder and kidnapping.
- Pratt's conviction was vacated on June 10, 1997, on the grounds that the prosecution had concealed evidence that might have exonerated the defendant.
- Pratt continued to work on behalf of men and women believed to be wrongfully incarcerated until his death, including participation in rallies in support of Mumia Abu-Jamal, whom he had met when both were active as Black Panthers. Geronimo was living in Tanzania at the time of his death.
Hanlon said Pratt refused to carry any resentment about his treatment by the legal system.
"He had no anger, he had no bitterness, he had no desire for revenge. He wanted to resume his life and have children," he said. "He would never look back."
The Los Angeles Times, which first reported Pratt's death, quoted a family member as saying he died Thursday.
Pratt was convicted in 1972 of being one of two men who robbed and fatally shot schoolteacher Caroline Olsen on a Santa Monica tennis court in December 1968. No one else was arrested.
Pratt claimed he was in Oakland for Black Panther meetings the day of the murder, and that FBI agents and police hid and possibly destroyed wiretap evidence that would prove it.
His lawyers, who included high-profile defense attorney Johnnie Cochran, blamed his arrest on a politically charged campaign by J. Edgar Hoover's FBI against the Black Panthers and other perceived enemies of the U.S. government.
Pratt's belated reversal of fortune came with the disclosure that a key prosecution witness hid the fact he was an ex-felon and a police informant.
Superior Court Judge Everett Dickey granted him a new trial in June 1997, saying the credibility of prosecution witness Julius Butler - who testified that Pratt had confessed to him - could have been undermined if the jury had known of his relationship with law enforcement. He was freed later that month.
Cochran, best known representing such clients as O.J. Simpson and Michael Jackson, called the day Pratt's freedom was secured "the happiest day of my life practicing law."
Prosecutors announced two years after the conviction was overturned that they would abandon efforts to retry him.
"I feel relieved that the L.A. DA's office has finally come to their senses in this respect," Pratt said at the time. "But, I am not relieved in that they did not come clean all the way in exposing their complicity with this frame-up, this 27-year trauma."
He settled a false imprisonment and civil rights lawsuit against the FBI and city of Los Angeles for $4.5 million in 2000.
Geranimo Pratt hakuwahi kuwa Mtanzania.
EMT ....huyu jamaa alikuwa anafanya movement nyingi za maendeleo walikuwa wanatoa yeye na peter onell course ya kompyuta na ushonaji bure kwa vijana pale kwenye kituo cha UAAC imbaseni kwa mnegro pia wana huduma ya free library kwa wanafunzi na imewasaidia sana vijana toka vijiji vya imbaseni, ngurdoto na ngongongare pia wanafunzi wa university of arusha wanatumia sana library yake pia waliinfluence uanzishwaji wa free library nyingine maeneo hayo inaitwa jifundishe free library. Pia amehusika sana ktk ukuzaji wa vipaji na muziki wa hiphop arusha. Alikuwa na uhusiano wa karibu JCB na watengwa, pia walishasimamia project nyingi za hiphop 4 development hata kuna kazi FidQ amefanyia kwao, pia pale UAAC kwa mnegro kuna studio nzuri tu ambayo vijana wengi especially undergrounds walikuwa wanarecord for free, kawapa tough wasanii wengi sana wa A taraaa ka kina D-WII, hata Nakaaya Sumary wamemjenga sana kimuziki hata yule msela wake wa dead prez Nakaya walimeet naye kwa Geranimo (RIP), alikuwa amejenga nyumba yake maeneo ya Imbaseni opposite na Anex hostels za University of Arusha i know him personally he was good and charming and he speaks arushan swahili vizuri may his soul rest in peace. Ni pigo kwa vijana, wanaharakati na hiphop funs all over Rchuga brother had departed for justice but struggles continues for free black race all over the world na ndo hicho aliamini sana there is no equality and freedom for black race bila freedom of mind away from white's mind poison