geranimo pratt ni huyo aliyevaa t-shirt nyekundu. huyo mwenye rasta ni black panther mwingine anaitwa pete o'neil.
huyo mwenye rasta anaonekana kwenye movie moja inaitwa panther in africa, sijui kama nimepatia jina la movie.
RIP Geronimo. Mkuu EMT, hiyo video naona kama ni ya Pete Oneal, walikuwa ndugu?
Yes, a very important black man in History of America, more important kuliko mtu yeyote anavyoweza kujua. Ni jirani yangu pale Embasenyi Arusha na alikuwa akijulikana sana kwa jina maarufu kama Mnegro. Ingawa wazungu wa wakati huo walieneza propaganda mbovu kuhusu mtu huyu, lakini ukweli utabaki pale pale alikuwa mpigania haki za watu wanyonge.
Kwa vijana, huyu ndiye baba wa Ubatizo wa Tupac Amaru Shakur mwanamziki maarufu wa muziki wa kizazi kipya wa Hip Hop (inayoweka vionjo vya rap) soma zaidi : Geronimo Pratt - Wikipedia, the free encyclopedia
Nape anagawa pipi na Khanga za MAGAMBA...
Jamii ndio ya kwanza...sii Blog,Web,Media TV au Radio ya hapa Tz iliyo~report mpaka sasa...
Jamii Forums juu...
Thanks EMT...
Shukrani mkuu. Inasikitisha mtu mashuhuri kama huyu alikuwa anaishi Tanzania na bado hakuna local media yoyote iliyoripoti kifo chake?
Local media ndio hao akina Pasco ambao nao washaingia kwenye orgy ya CHADEMA vs CCM as if thats what we needShukrani mkuu. Inasikitisha mtu mashuhuri kama huyu alikuwa anaishi Tanzania na bado hakuna local media yoyote iliyoripoti kifo chake?