Black Panther Leader Geronimo Pratt dies in Tanzania

Black Panther Leader Geronimo Pratt dies in Tanzania

Hiv kweli mtu kama huyu likua anaishi Tanzania halaf wala watu hatukujua!!!
Dah, me kiukweli imeniuma zaidi hata ya kifo chake tena. Sasa sisi tunajivunia nini nchi hii jamani?????????
Geronimo Pratt, mtu niliemsoma hadi ktk historia ya dunia ya mtu mweusi aliishi tanzania halaf bila hata kuaaham!!!
sasa media zinafanya nini jamani????? Dah, kwa mpenda haki yeyote hapa ana mapigo mawili.
1. Kutokufaham kua mtu faraja kama huyu alikua akiishi tanzania
2.Mtu faraja kaa huyu ametutoka.
Geronimo Pratt. RIP Soldier.
May the almight rest your soul in peace.May h grant you with eternal life
. AMEN.

Pengine sio watu wazito kama Geronimo ila wapo wengi bongo . Hawa jamaa wanapenda ku lay low hawatakagi sana umaarufu.
 
R.I.P...Geronimo
he was a true figher not only for black people but the entire human kind regardless of the colour .
samahanini jamani kama narukia gari kwa mbele....kwani huyu kiongozi wetu kapumzishwa (kazikwa)
wapi..!!!!!!
 
Back
Top Bottom