Black Monday??

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
 
kongosho utaimaliza vip wakati siku ndo ishaisha sasa imebakia kulala tu?
 
Hukupata morning glory....ingeisha tu vizuri!
 
Hivi haya masaa manne yalobaki unadhani mchezo??
Magumu sana kuyamaliza.
Hata ukilala saa hii ni kuhesabu makenchi tu.

kongosho utaimaliza vip wakati siku ndo ishaisha sasa imebakia kulala tu?
 
Hivi haya masaa manne yalobaki unadhani mchezo??
Magumu sana kuyamaliza.
Hata ukilala saa hii ni kuhesabu makenchi tu.
dah kumbe unahesabu makenchi pole sana...kama ni hivo kweli siku ni ngumu
 
Ni PM nikupe raha, nikusaidie kumaliza siku yako vizuri
 
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
Aksante kongosho kwa kuniwakilisha! Mie leo najisikia kulialia, hacrahacra ilmradi siko sawa.

Sijui ndo menopouse!
 
Hunifikii,
najisikia kama kuvunja vunja vitu
I feel like punching Gods knows what?

Yaani leo hata mtu aangushe kijiko ntalia aisee.
Nimejaribu kwenda mmu, nkaona ntaharibu sredi za watu bure.

Aksante kongosho kwa kuniwakilisha! Mie leo najisikia kulialia, hacrahacra ilmradi siko sawa.

Sijui ndo menopouse!
 
hivi ni black monday au blue monday??????
 
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.

hujambo Kong'?
Nasikia ulinimiss ati...
 
Ilikuwa black asubuhi ila kwa sasa imekuwa poa hata mimi sikuwa na munkari wa kazi ila kwa sasa niko fiti kwelikweli
 
Hivi unajua gharama ya PM yangu?
una personal loya?
External na internal auditor?
personal doctor?
Ni PM nikupe raha, nikusaidie kumaliza siku yako vizuri
 
Bora weye
mie hali ya mama/baba wa chit chat iko st tomas.

Ilikuwa black asubuhi ila kwa sasa imekuwa poa hata mimi sikuwa na munkari wa kazi ila kwa sasa niko fiti kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…