Black Magic ni nini uchawi upi haswa?

Katika pillars za uchawi au magics. Spells za black magic hazizuiliki kwa kutumia dawa zilizo na madhumuni ya kuponya, au hasa hasa White magician hawezi kupigana na black magician kwa kutumia njia za White magic. Ndo maana wao wana msemo kuwa "Black magic suppress all magic". Spells za black magic ni hatari sana na kama unataka kupambana nazo basi njia rahisi ni kutumia spells za black magic sio white magic tena.

Sent using Infinix hot 4 lite
 
Umesema uchawi mweupe kwa ajili ya tiba na mweusi kudhuru watu,kwahiyo kama ukiathiriwa na uchawi mweusi ili utibiwe inatakiwa utumie uchawi uleule mweusi tena?
 
Umesema uchawi mweupe kwa ajili ya tiba na mweusi kudhuru watu,kwahiyo kama ukiathiriwa na uchawi mweusi ili utibiwe inatakiwa utumie uchawi uleule mweusi tena?
Sio lazima black magic itumike lakini wengi wanakuwa na traits za black magic sio kwamba anayekutibu ni completely White magician

Sent using Infinix hot 4 lite
 
Umesema uchawi mweupe kwa ajili ya tiba na mweusi kudhuru watu,kwahiyo kama ukiathiriwa na uchawi mweusi ili utibiwe inatakiwa utumie uchawi uleule mweusi tena?
Mfano rahisi tu kwenye ishu ya Voodoo puppets au Misukule hapo unadhani Kuna namna ya kutumia White magic kuzuia The effects za spells zao

Sent using Infinix hot 4 lite
 
Achana na Merlin Chek sevent son hii ndio jibu y maswali yote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…