Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,196
- 10,708
- Thread starter
- #21
Katika pillars za uchawi au magics. Spells za black magic hazizuiliki kwa kutumia dawa zilizo na madhumuni ya kuponya, au hasa hasa White magician hawezi kupigana na black magician kwa kutumia njia za White magic. Ndo maana wao wana msemo kuwa "Black magic suppress all magic". Spells za black magic ni hatari sana na kama unataka kupambana nazo basi njia rahisi ni kutumia spells za black magic sio white magic tena.Sawa ila vp uliposema kwamba uchawi mweupe hauwezi kuzuia athari za uchawi mweusi? Maana kama tunakubaliana kuwa haya majina ya Black na white ni tofauti za matumizi tu ila uchawi ni uleule iweje useme uchawi mweupe hauwezi kuzuia athari za uchawi mweusi?
Sent using Infinix hot 4 lite