mtoto wa afrikaa
Member
- Aug 8, 2016
- 98
- 81
Mwanamitindo wa Sudan kusini akiwa kwenye pozi
Mzuri sana!Mwanamitindo wa Sudan kusini akiwa kwenye poziView attachment 536335
Teh teh..Sasa watawauziaje mikorogo yao bila kuwaaminisha hivyoWhite peoples made the universe to believe white is beautiful
Mimi sijichunuo mkuu ingawaje make up ninapakaTeh teh..Sasa watawauziaje mikorogo yao bila kuwaaminisha hivyo
umenikumbusha documentary moja mzungu alikwenda Iraq akahoji kwanini wanawake went wanajifunika hiyo ni abuse. Walimjibu vile wanawake wenye kutembea uchi siyo abuseHivi kukaa uchi ndio uzuri
Safi..Make up sio ishu..Ujue tu kujipaka vizuri..Mimi sijichunuo mkuu ingawaje make up ninapaka
Mkuu hata sisi wa kwetu Kwamtogole sikuhizi tunapata free tutorial ya make up kwenye you tubeSafi..Make up sio ishu..Ujue tu kujipaka vizuri..
Duuuh...!! Sio kwa U-black huu...!!Mwanamitindo wa Sudan kusini akiwa kwenye poziView attachment 536335
