Black is Beautiful !

kijungu cha nguvu, mbona vidole kama vya mkorogo
 
Mbona huyo ni black kwenye magoti tu? na ana nywele ambazo hazihusiani na u black?

Itakuwaje beautiful?
 
Hivi kwa nini huwa wanapenda kuonyesha migongo??
 
Eeee mama kumbenaaaax2 nafurahi kuzaliwa mwanamume maana yote ayafanyayo ni kwa ajiri yangu
 
Hii dunia siku kukicha wanawake wamepotea kusikojulikana, baadhi ya wanaume watajinyonga!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…