Black easter with black car

Black easter with black car

Dah!Nimeona niwe wa kwanza kukupa 'like' ingawa unastahili pole
 
Kama nimemuelewa kwa ufasaha mleta mada nadhani anamaanisha kujipima virusi vya ukimwi!Na anajuta kufanya "UNSAFE SEX" this terminology has a wide spectrum of meaning,coz unsafe sex can't only cause pregnancy,you can get sexual transmitted diseases too including HIV!
Na katikati ameandika "I sexed with him bila kondom...sijui ni shetani sijui ilikuwaje nikajikuta kimoja kimepigwa tayari...Tangu pale akili yangu ilivurugika kabisaaaaaa ndani ya moyo najiuliza kwanini? imekuaje mtu simjui nimesex.Sometime najipa moyo coz was safe sex nadhani wataalam wa hii mnanielewa.
Meaning she was on her safe days from getting pregnancy.

hivi sio kamaanisha ile ya kuandaana vizuri bila kuleta michubuko wakat wa tendo
 
Kuna vidonge vinazuia maambukizi ya ukimwi hasa ukiwahi baada ya siku tatu hivi, nimevisahau jina.

ungekunywa pia vidonge vya kuzuia mimba.

ila inshort UKIMWI unaua si mimba.
vinaitwa pep, kweli bora aanze dozi...
 
Eve m naona kama kachukulia frends with benefit ...maybe kweli haijamgusa
Ndo na mawasiliano akate?
asirudi hata kutoa feedback "baby it was sweet, I like the way you positioned yourself"
basi jamaa mgumu sana *****
 
Mhhhhhh aisee kuna baadhi ya vitu huwa vinatokea then unaanza kuregret baadae
 
Ndo na mawasiliano akate?
asirudi hata kutoa feedback "baby it was sweet, I like the way you positioned yourself"
basi jamaa mgumu sana *****
Hatare sana..kweli watu wanazidiana akili aisee
 
Back
Top Bottom