Hahahaaaaaaa mimi nimeamua kukaa kimya tu.Nifah naona hii picha ya pili ni ya me&ke au!
Duh, umenikumbusha mbali.Hata maji huwa wanasingizia yanawasoftisha,na make up wanapaka
Mi mwenyewe sipendi kabisa hayo masuala. Bahati nzuri manzi angu ni wa nywele fupi ila ningekuwa napata ukakasi akivaa izo kituIla sasa kama anajikubali kwanini kaweka hayo makatani kichwani???
Yani hamna kitu sipendi kama hayo madudu. Ni vile tu tunavumilia
Mkuu usintafutie sababu, samahani sana.ACHA KASHFA WEWE!
Ulikusudia kujiita Bill Gate?? [emoji21] Au macho yng tuBeautiful as my lovely one Neybright
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhan hivo lilivo ndio alikusudiaUlikusudia kujiita Bill Gate?? [emoji21] Au macho yng tu
Isipokuwa manywele. Ni ukinzani mkubwa kuweka manywele ufanane na mzungu huku ukijua ni Mwafrika asilia kabisa.Huyo wa kwanza nimemkubali kinoma,ni mzuri sana.
Ila huyu mwingine (before & after makeup) [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe aliwah kuwa kayayiiiiii?Ndio kuna picha zake za nyuma sema sikuzitunza niliziona insta
Enzi zile alikua anaigiza kama kayaiii na akina mzee ojwang(alisema mwenyewe huddah)
Duh sasa huyo wa mwanzo ukiwa nae chumbani hata ukiwasha taa ya watts 100 si bado kutakua na giza?
Ulikusudia kujiita Bill Gate?? [emoji21] Au macho yng tu
Umenichekesha sanaaa Aiseehuyo dada had si muoni, umejuaje kama mzuri wakat haonekani!? [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenichekesha sanaaa Aisee
Cc wajaruho na wakambahahaha
sasa wakenya wenyewe nani mweupe kwao, zaid ya wale wa pwani, wakenya ni weusi tii wengi tu.
kwa kina Lupita dingi yake ana pesa hasa