Black beauty kajikubali

Black beauty kajikubali

After make up kawa mzuri kweli. Shukran kwa aliyevumbua make up
Hajapendeza after make up ni heri akiwa natural. Hizi make up za nini!? Unakuta mtu kajishindilia uso umebadilika hadi zangi utadhani kajikandika kinyesi cha mtoto
 
Hahaha aisee
Ni uboya sasa mixa ma cancer yasiyoeleweka

Uwiii acha basi kukandia hivyo. Urembo huo eeh maharus wengi hawawezi enda ukumbini bila makeup ujue
Hajapendeza after make up ni heri akiwa natural. Hizi make up za nini!? Unakuta mtu kajishindilia uso umebadilika hadi zangi utadhani kajikandika kinyesi cha mtoto
 
Hata wanaume wanapaka make up ushahidi wale wakaka na wababa wa bongo movie na bongo fleva(kwenye video zao hukuti mwenye chunusi mle)
Waende tu bila make up mbona wanakuwa wamependeza tu

Tatizo kuto kujiamini
 
Ndio kuna picha zake za nyuma sema sikuzitunza niliziona insta

Enzi zile alikua anaigiza kama kayaiii na akina mzee ojwang(alisema mwenyewe huddah)
hahaha
sja amini hii stori, kwamba ndio Huddah yule!!?
 
Back
Top Bottom